Msaada: Nataka kusilimu, nifate utaratibu gani?

Msaada: Nataka kusilimu, nifate utaratibu gani?

hakuna haja ya kuthibitisha wewe slimu afu mahali unapeleka msaafu
Siyo kwamba nimewaacha ndugu zangu wakristo nitakuwa nanyi kwemy mambo mengi tu ya kijamii na ikiwa mambo yangu yatakwenda vzr Kam ninavyo tazamia Basi nitaendeelea kuwasapoti sitowacha wakuu
 
Unafikiri anataka kuslim kwa kuwa ameuelewa na ameupenda Uislam, au ni kwa sababu ya mwanamke?
Mwanamke na fursa zilizopo ndani ya usilmu naona teuz kwangu mapema tu
 
Nimemuelewa sana bint mmoja wa sheikh mmoja hapa jirani yangu na bint amenielewa na tunapenda mno Ila kanipa mashart ili nimuoe ni lzm mm nibadili dini mm niwe muislamu na jina kaniambia nitapewa jina la shabani ...... Dr shabani

Alinieleza hata mama ake hapo awali alikuwa upande wetu mkristo ila baada ya kuolewa na Bab ake amebadili dini na kuwa musilamu hadi Sasa hajayumba

Faid nilizo ziona mm ktk upande huu Ni Kama ifuatavyo

Kuoa unaruhusiwa kuoa hadi wake wanne .hvyo uwezi kuchepuka kbsa

Pili : kuzika, hutacheleweshwa sana Wala kuchangishana Sana Ni Leo jioni ama kesho tayari umezikwa .

Tatu : kufunja ndoa Ni dakik tano tu ,hulazimishwi kuishi nae ikiwa humtaki Tena.

Nne: mwanamke Ana muheshimu sna mume wake tofauti na huku kwetu dharau imeongezeka sana siku hizi mwanamke anaamini kwamba huwezi kuoa au kufunja ndoa kirahis rahisi hvyo huzidisha dharau.

Tano: endapo mtaachana mambo ya kugawana Mali Hakuna Wala hulazimishwi

Sita mahari wa bint wa kisilamu Ni ndogo sna hata laki moja tu unaoa vzr tu

Saba unaweza kuwa imamu au shekih au kuteuliwa ktka nafsi za taasis zao ukiwa una elimu nzuri Kam yangu mm naweza kuwasaidia kuendesha na kusimamia miradi yako bila shida .


Bint mwenyewe Ni muandishi /ripota wa habari ktk redio moja ya nnje .

Naomba msaada nifate hatua zipi za awali



View attachment 2700347
Sababu zako zote ni za kijinga.

Mimi nilifikiri una silimu kwa ajili ya Allah kumbe una silimu kwa ajili ya papuchi na tamaa nyingine za kidunia.
 
Kwanini unakazia sana hapa?

Hizo teuzi unazozitaka wewe kwenye masuala ya imani mbona zinatia shaka?una interest gani unategemea kuipata zaidi ya ulichosema"mke"?
Mke na fursa zilizopo ndani ya uislamu pmj na teuz na hii Ni kutokana na Aina ya mwanamke ambae natak kumuoa mm
 
Unafikiri anataka kuslim kwa kuwa ameuelewa na ameupenda Uislam, au ni kwa sababu ya mwanamke?
Wao bora wamekuwa wengi hiyo kuelewa au kutoielewa dini siyo juu yao.

Jamaa ananifurahisha zaidi pale anaposema kwamba ana elimu kubwa so anaona kabisa akiingia huko teuzi nje nje!
 
Sababu zako zote ni za kijinga.

Mimi nilifikiri una silimu kwa ajili ya Allah kumbe una silimu kwa ajili ya papuchi na tamaa nyingine za kidunia.
Hpn mkuu siyo sabaubu za papuchi pia naziona fursa kubwa sna mbele yangu mm
 
Kuna mwamba anaitwa Seydou Koné, kutoka pande za Dimbokro, ndani ya Côte d’Ivoire.
Alikua anajifanya Rastafarian, One Peace, Jahman, Moshi mwingi Regge sana. Akasumbua sana Afrika.
Siku alipokuja kuonyeshwa tako lenye rangi, na bint mwenye rangi mtume, akataka kuoa kabisa. Bint akatoa mashari anyoe rasta, alipotakiwa kunyoa rasta na kubadili dini, alisema nini rasta, hata ukitaka kichwa nitakikata nikupe.
Sasa hivi yupo huko anaimba kaswida, anatembea ametinga kanzu mashaallah huko mkononi ana tasbihi vidoleni ana kipisi cha bangi.
 
Sababu zako zote ni za kijinga.

Mimi nilifikiri una silimu kwa ajili ya Allah kumbe una silimu kwa ajili ya papuchi na tamaa nyingine za kidunia.
Usimkazie mwenzako mwache nae aende akale mema ya nchi plus wake wanne.

Naona pia anasisitiza sana masuala ya teuzi upo uwezekano ameshachungulia kakuta mkwewe yupo kitengo masjid moja hapo Dom.
 
Kuna mwamba anaitwa Seydou Koné, kutoka pande za Dimbokro, ndani ya Côte d’Ivoire.
Alikua anajifanya Rastafarian, One Peace, Jahman, Moshi mwingi Regge sana. Akasumbua sana Afrika.
Siku alipokuja kuonyeshwa tako lenye rangi, na bint mwenye rangi mtame, alipotakiwa kunyoa rasta na kubadili dini, alisema nini rasta, hata ukitaka kichwa nitakikata nikupe.
Sasa hivi yupo huko anaimbwa kaswida, anatembea ametinga kanzu mashaallah huko mkononi ana tasbihi vidoleni ana kipisi cha bangi.
Chai
 
Nimemuelewa sana bint mmoja wa sheikh mmoja hapa jirani yangu na bint amenielewa na tunapenda mno Ila kanipa mashart ili nimuoe ni lzm mm nibadili dini mm niwe muislamu na jina kaniambia nitapewa jina la shabani ...... Dr shabani

Alinieleza hata mama ake hapo awali alikuwa upande wetu mkristo ila baada ya kuolewa na Bab ake amebadili dini na kuwa musilamu hadi Sasa hajayumba

Faid nilizo ziona mm ktk upande huu Ni Kama ifuatavyo

Kuoa unaruhusiwa kuoa hadi wake wanne .hvyo uwezi kuchepuka kbsa

Pili : kuzika, hutacheleweshwa sana Wala kuchangishana Sana Ni Leo jioni ama kesho tayari umezikwa .

Tatu : kufunja ndoa Ni dakik tano tu ,hulazimishwi kuishi nae ikiwa humtaki Tena.

Nne: mwanamke Ana muheshimu sna mume wake tofauti na huku kwetu dharau imeongezeka sana siku hizi mwanamke anaamini kwamba huwezi kuoa au kufunja ndoa kirahis rahisi hvyo huzidisha dharau.

Tano: endapo mtaachana mambo ya kugawana Mali Hakuna Wala hulazimishwi

Sita mahari wa bint wa kisilamu Ni ndogo sna hata laki moja tu unaoa vzr tu

Saba unaweza kuwa imamu au shekih au kuteuliwa ktka nafsi za taasis zao ukiwa una elimu nzuri Kam yangu mm naweza kuwasaidia kuendesha na kusimamia miradi yako bila shida .


Bint mwenyewe Ni muandishi /ripota wa habari ktk redio moja ya nnje .

Naomba msaada nifate hatua zipi za awali



View attachment 2700347


Kwa hiyo lengo sio umeshawishika na imani, ila wamuitaji mtoto wa Sheikh, hata ungebaki na Ukristo ungempata tu, anyway, nafikiri hata Ukristo wenyewe ni tia maji.
 
Hii ya kuamini issa tayari ipo hapo
Nikimaanisha
-""" Kuamini mitume wa Mwenyezi Mungu waliotumwa na vitabu vilivyopelekwa kwa mitume, na malaika Wake."""
Yah ni kweli mkuu...ila wanachuoni wengi zama hizi wanawatamkisha watu wanaongia katika dini hususani wale waliokiwa wakristo ili kuwatoa ile athari yao iliyoingia moyoni kuwa Issa/yesu ni....
 
Kwa hiyo lengo sio umeshawishika na imani, ila wamuitaji mtoto wa Sheikh, hata ungebaki na Ukristo ungempata tu, anyway, nafikiri hata Ukristo wenyewe ni tia maji.
Kumuelewa mtu Ni pmj na kufata matakwa yake ,Kuna shida gani kubadili dini hihi tulio ridhishwa na wakoloni

Mm bint nimemuelewa na pia teuz naiona nje nje kwangu na hi Nikutukana na elimu nilionayo na pia baba mkwe wangu Yuko kweny system Ni rais mm kupenya nyie subirini tu
 
Nilikuwa nafuatilia hiyo picha, japo siyo yeye ila naona editing kwenye nyonyo, zoom utaona circles zimekuja nje ya vazi.
Afu et hawa ndo vijana tunaotegemea wapiganie bandari yetu isiuzwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom