Msaada: Nataka kusilimu, nifate utaratibu gani?

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,753
Reaction score
18,781
Nimemuelewa sana bint mmoja wa sheikh mmoja hapa jirani yangu na bint amenielewa na tunapenda mno Ila kanipa mashart ili nimuoe ni lzm mm nibadili dini mm niwe muislamu na jina kaniambia nitapewa jina la shabani ...... Dr shabani

Alinieleza hata mama ake hapo awali alikuwa upande wetu mkristo ila baada ya kuolewa na Bab ake amebadili dini na kuwa musilamu hadi Sasa hajayumba

Faid nilizo ziona mm ktk upande huu Ni Kama ifuatavyo

Kuoa unaruhusiwa kuoa hadi wake wanne .hvyo uwezi kuchepuka kbsa

Pili : kuzika, hutacheleweshwa sana Wala kuchangishana Sana Ni Leo jioni ama kesho tayari umezikwa .

Tatu : kufunja ndoa Ni dakik tano tu ,hulazimishwi kuishi nae ikiwa humtaki Tena.

Nne: mwanamke Ana muheshimu sna mume wake tofauti na huku kwetu dharau imeongezeka sana siku hizi mwanamke anaamini kwamba huwezi kuoa au kufunja ndoa kirahis rahisi hvyo huzidisha dharau.

Tano: endapo mtaachana mambo ya kugawana Mali Hakuna Wala hulazimishwi

Sita mahari wa bint wa kisilamu Ni ndogo sna hata laki moja tu unaoa vzr tu

Saba unaweza kuwa imamu au shekih au kuteuliwa ktka nafsi za taasis zao ukiwa una elimu nzuri Kam yangu mm naweza kuwasaidia kuendesha na kusimamia miradi yako bila shida .

Bint mwenyewe Ni muandishi /ripota wa habari ktk redio moja ya nnje .

Naomba msaada nifate hatua zipi za awali

IMG_20221203_223639.jpg
 
Nimemuelewa sana bint mmoja wa sheikh mmoja hapa jirani yangu na bint amenielewa na tunapenda mno Ila kanipa mashart ili nimuoe ni lzm mm nibadili dini mm niwe muislamu na jina kaniambia nitapewa jina la shabani

Alinieleza hata mama ake hapo awali alikuwa upande wetu mkristo ila baada ya kuolewa na Bab ake amebadili dini na kuwa musilamu hadi Sasa hajayumba

Faid nilizo ziona mm ktk upande huu Ni Kama ifuatavyo

Kuoa unaruhusiwa kuoa hadi wake wanne .hvyo uwezi kuchepuka kbsa

Pili :kuzika, hutacheleweshwa sana Wala kuchangishana Sana Ni Leo jiona ama kesho tayari umezikwa

Tatu : kufunja ndoa Ni dakik tano tu ,hulazimishwi kuishi nae ikiwa humtaki Tena

Nne: mwanamke Ana muheshimu sna mume wake tofauti na huku kwetu dharau imeongezeka sana siku hizi mwanamke anaamini kwamba huwezi kuoa au kufunja ndoa kirahis rahisi hvyo huzidisha dharau

Tano: endapo mtaachama mambo ya kugawana Mali Hakuna Wala hulazimishwi

Sita mahari wa bint wa kisilamu Ni ndogo sna hata laki moja tu unaoa vzr tu

Saba unaweza kuwa imamu au shekih au kuteuliwa ktka nafsi za taasis zao ukiwa una elimu nzuri Kam yangu mm naweza kiwasaidia kuendesha na kusimamia miradi yako bila shida

Bint mwenyewe Ni muandishi ripota wa habari ktk redio moja ya nnje .

Naomba msaada nifate hatua zipi za awali

View attachment 2700347
Kwa sababu hizo za kimaslahi nenda fasta, maisha ya sasa ni kwenda na fursa tu
 
Je msikitini maarufu Ni upi mkuu sitaki hz misikiti midgo nataka mkubwa sana kwa SAS niko ddm zoezi hili nataka nifanye hata kesho
Misikiti yote ni nyumba za mwenyezi mungu.....hakuna kubagua msikiti maadam swala inasimamishwa ndani, anatajwa mwenyezi mungu na mtume wake na umetolewa waqfu.....nenda msikiti wowote
 
Utasema hivi

Nakiri “Laa ilaaha illa llah, Muhammadan rasuulu llah.”

Maneno haya ya Kiarabu yanamaanisha, "Hapana Mola (Mungu) wa kweli isipokuwa Allah (Mwenyezi Mungu), na Muhammad ni Mtume (Mjumbe) wa Mwenyezi Mungu." Mara tu unapotamka Shahada kwa kuamini na kuelewa maana yake, basi umekuwa Muislamu
 
Ili uwe Muislamu, mtu anapaswa pia:

- Kuamini ya kwamba Kurani Tukufu ni neno halisi la Mungu, lililoteremshwa na Yeye.

- Kuamini ya kwamba Siku ya Hukumu (Siku ya Ufufuo) ni kweli na inakuja.

- Kuamini mitume wa Mwenyezi Mungu waliotumwa na vitabu vilivyopelekwa kwa mitume, na malaika Wake.

- Kukubali Uislamu ni dini yake.

- Kutoabudu kitu chochote wala mtu yeyote ila Mwenyezi Mungu.
 
Pia anaweza akasema hivi ata hapo alipo huku akiwa anaelekea msikitini
 
Kusilimu kwa ajili ya papuchi eeeh 🤔...anyway, baharia yeyote anaweza kufanya, maana hapo deal ni kupata papuchi. Ukiishaila na utamu ukaisha kama jojo unam-dump yeye na dini yake. Hata mimi ningefanya hivyo. MASLAHI YA KINGONO KWANZA!
 
Ili uwe Muislamu, mtu anapaswa pia:

- Kuamini ya kwamba Kurani Tukufu ni neno halisi la Mungu, lililoteremshwa na Yeye.

- Kuamini ya kwamba Siku ya Hukumu (Siku ya Ufufuo) ni kweli na inakuja.

- Kuamini mitume wa Mwenyezi Mungu waliotumwa na vitabu vilivyopelekwa kwa mitume, na malaika Wake.

- Kukubali Uislamu ni dini yake.

- Kutoabudu kitu chochote wala mtu yeyote ila Mwenyezi Mungu.
Pia kuamini yesu( Issa bin maryam ra) ni mjumbe wa mwenyezi mungu katika wajumbe amabo mwenyezi mungu amewatuma katika dunia hii!
 
Nimemuelewa sana bint mmoja wa sheikh mmoja hapa jirani yangu na bint amenielewa na tunapenda mno Ila kanipa mashart ili nimuoe ni lzm mm nibadili dini mm niwe muislamu na jina kaniambia nitapewa jina la shabani ...... Dr shabani

Alinieleza hata mama ake hapo awali alikuwa upande wetu mkristo ila baada ya kuolewa na Bab ake amebadili dini na kuwa musilamu hadi Sasa hajayumba

Faid nilizo ziona mm ktk upande huu Ni Kama ifuatavyo

Kuoa unaruhusiwa kuoa hadi wake wanne .hvyo uwezi kuchepuka kbsa

Pili : kuzika, hutacheleweshwa sana Wala kuchangishana Sana Ni Leo jioni ama kesho tayari umezikwa .

Tatu : kufunja ndoa Ni dakik tano tu ,hulazimishwi kuishi nae ikiwa humtaki Tena.

Nne: mwanamke Ana muheshimu sna mume wake tofauti na huku kwetu dharau imeongezeka sana siku hizi mwanamke anaamini kwamba huwezi kuoa au kufunja ndoa kirahis rahisi hvyo huzidisha dharau.

Tano: endapo mtaachana mambo ya kugawana Mali Hakuna Wala hulazimishwi

Sita mahari wa bint wa kisilamu Ni ndogo sna hata laki moja tu unaoa vzr tu

Saba unaweza kuwa imamu au shekih au kuteuliwa ktka nafsi za taasis zao ukiwa una elimu nzuri Kam yangu mm naweza kuwasaidia kuendesha na kusimamia miradi yako bila shida .

Bint mwenyewe Ni muandishi /ripota wa habari ktk redio moja ya nnje .

Naomba msaada nifate hatua zipi za awali

View attachment 2700347
We me au ke?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom