Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,798
- 6,797
Habari
nilimaliza A level mwaka 2010 ila nilifeli kabisa. Mwaka uliofuata yaani 2011 niliamua kurudia tena ila katika combi yangu ya PCM nilipata alama E kwenye maths.
mwaka huo niliamua kwenda chuo cha diploma nikasoma mwaka 2014 nikapangiwa kazi na serikali. Sasa nilichokisoma chuo sijakipenda japokuwa na mshahara mzuri wa 700k sijajua mheshimiwa atatuongezea ngapi mwaka huu
Ila nataka nikarudie tena Physics na Chemistry. sasa hapa nilipo nasubiria wafungue tu kwenye tovuti ya necta nianze kuapply. Shida yangu nipate angalau ata cheti cha form six tu.
sasa nauliza hivi, ninatakiwa nipate wastani wa D's mbili ili niinde chuo kikuu au utaratibu ukoje maana siielewi ile guide book yao?
sitaki mapovu kama hujui kitu bora uwe msomaji
asante