Msaada nataka kununua gari hili

Msaada nataka kununua gari hili

CIF ni garama za kulitoa gari kutoka japenga hadi bandarini. Likifika bandarini kuna ushuru unaotozwa na TRA, port charges, agency fee na other misilenious cost kabla hujalipeka home hilo ndinga
Ila hizo cost ndio unaweza kuzijuwa kwa kutumia TRA calculation tool yao ilyopo kwenye website yao?
 
Ushauri murua. Tafuta hata toyota celica ina muundo kama huo lakin kwa kuwa ni toyota hutopata maumiv sana by then cc 1800 vvti inanusa tu kuliko hilo jini

Mimi gari yangu ya kwanza ilikuwa na cc2490 ilikuwa nzuri sana ila wese lake sasa. Spare zote bei yake ilikuwa mara kumi ya bei za toyota. Niliuza kwa faida ila nilichinja kuku wawili nikaita na washkaji
 
Ila hizo cost ndio unaweza kuzijuwa kwa kutumia TRA calculation tool yao ilyopo kwenye website yao?

Ndio mkuu. Ila port charges na agency fee haimo kwenye hiyo calculator. Ni vyema kabla hujaagiza gari yoyote uangalie kodi yake kwanza
 
Mimi gari yangu ya kwanza ilikuwa na cc2490 ilikuwa nzuri sana ila wese lake sasa. Spare zote bei yake ilikuwa mara kumi ya bei za toyota. Niliuza kwa faida ila nilichinja kuku wawili nikaita na washkaji

Hahahah gari gan hilo mkuu
 
Subaru Legacy ya mwaka 2005 mkuu. Si unajua yalivyokaa vizuri? Nikashoboka likanifundusha adabu. Baada ya hapo nikaparamia crown

Aisee m sijawah kuwa gar tofaut na toyota nilianza na mark 2 gx110...baadae premio new model ila sa hivi nimepanda kidogo siri yangu
 
Kama hiyo ni total amount hadi bandarini sio mbaya,nenda kwenye website ya TRA ukaestimate kodi ukimalza ongeza kama 1m ya kutoa gari bandarini na mambo madogo mengine.
 
Back
Top Bottom