Borro
Member
- Nov 29, 2011
- 98
- 40
Ndugu JF members naomba msaada wa maelezo kuhusu FORD EXPLOER ya mwaka 2004, 4000cc, ambayo nataka kuiagiza kutoka Japan kupitia "tradecarview'' kampuni ya ''Y's OUTLET''. Nimekubaliana na hawa jamaa $5200 CIF + Inspection to Dar.
1: Nataka kujua kuhusu spare parts kwa hapa bongo kwa hii gari zinapatika kwa urahisi?
2:Kwa aina hii yaan FORD EXPLORER ninaweza kuipata kwenye showrooms za hapa bongo?, na pia bei yake ipo vipi?.
3:Kuhusu tax rates za TRA na mambo mengine nimetumia valuation system ya TRA nikaona angalau natakiwa kuwa na 6M hivi, swali kuna uwezekano wa TRA kupandisha kodi kwa aina ya gari hii na kutakiwa kulipa zaidi ya hapo?.
4: kwa wale walio wahi kuagiza gari kupitia tradecarview kwa hii kampuni ya Y's OUTLET, napenda kujua uaminifu wa hawa jamaa hasa kuhusu malipo, mie nataka kulipia kupitia PAYTRADE na si direct kwa seller. Je hapo pame kaa vip jamani?. Pia wana jamaa yao hawa Y's OUTLET anaitwa Tomo, vipi kwa waliowahi kufanya manunuzi na hii kampuni huyu jamaa ndo muhusika?.
Jamani ni hayo tu ambayo nahitaji sana kuyajua kabla sijafanya uamuzi wa kulipia, na ni matumaini yangu nipata majibu sawia kabisa.
Be blessed guys.