Msaada nataka kununua gari hili

Msaada nataka kununua gari hili

Llio 002

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
1,639
Reaction score
2,077
Habari wana jf,nimeangalia katika website ya Enhence Auto Japan nimeliona gari aiana ya Mitsubish FTO nataka kulinunua na gharama zake ni shillingi $1850 FOB + CIF+insurance je vipi wadau mnanishaurije niuchukuwe mzigo au? Na vipi kuhusu ulaji wa mafuta,spareparts na vitu vingine muhimu kwenye gari vipo vizuri? Nahitaji ushauri wenu wadau
1467878199195.jpg
 
Mkuu sijaelewa hiyo 1850 ni dola au shiling? Pili umesema ni 1850 FOB+CIF+ Insurance ndio kitu gani hicho unamaana hiyo 1850 ni fob, au CIF??
 
Halafu ukute huko nyuma muffler lipo hivi du! Mwendo wa kuteleza tu
Car-Exhaust-Muffler.jpg
 
Vuta mchuma huo ndugu umetulia. Na mimi nafanya research nibadilishe gari.....sijawahi agiza toka Japan but this time round nitaagiza from Japan
 
Mkuu sijaelewa hiyo 1850 ni dola au shiling? Pili umesema ni 1850 FOB+CIF+ Insurance ndio kitu gani hicho unamaana hiyo 1850 ni fob, au CIF??
Kwa mujibu wa Enhence Auto Japan etimation cost yao ni $1850 ambayo hiyo ni gharama za jumla FOB+CIF+Insuarance na hapo nimeweka nearest port ni Dar es salaam mkuu sasa sijuwi ni wa kweli katika hizo cost au ni vipi
 
Unachanganya madawa hakuna kitu cha fob +cif+ insurance ukisema CIF tayar ina FOB insurance na freight. Fob pekee ni cost ya gari sawa na Fob ndio maana mimi sikuelewi
 
Mkuu bei ya gari ikiwa Japan. inaitwa Fob na ikishatumwa na kufika Dar bei yake inakuwa Cif yaani hata insurance ya kwenye meli ishalipwa. Hiyo cif ndiyo Pilato anatumia kupanga thamini ya kodi
 
Unachanganya madawa hakuna kitu cha fob +cif+ insurance ukisema CIF tayar ina FOB insurance na freight. Fob pekee ni cost ya gari sawa na Fob ndio maana mimi sikuelewi
Mkuu kwa mujibu ya website yao wanasema FOB ya gari ni kama $ 590 kwenye hiyo website kuna sehemu ya ku estimate cost ya CIF na Insurance amba baada ya kucalculate nikapata jumla ya ghara za FOB,CIF na insurance ikaja kama $1850 mkuu
 
Kama nitakuwa nimekosea naombeni mnisahihishe wakuu
 
Hapo kwenye CIF sema ni Freight ambayo sasa utapata FOB+Freight+Insurance = CIF
 
Kama ni gari yako ya kwanza na una kipato cha kawaida tafuta gari zilizozoeleka. Hilo linamfaa mtu aliyezoea magari na hata akiambiwa shock absober ya mbele ni laki tisa hashtuki.

Halafu kwa bei hiyo hata kama ni FOB angalia vizuri lisije likawa ni yale majini maana huwa yanauzwa bei rahisi sana ili ukafie mbele
 
Kwa hiyo mkuu hapo kuna gharama zingine za kulitoa hilo gari bandalini mpaka naenda nalo home
 
CIF ni garama za kulitoa gari kutoka japenga hadi bandarini. Likifika bandarini kuna ushuru unaotozwa na TRA, port charges, agency fee na other misilenious cost kabla hujalipeka home hilo ndinga
 
Kama ni gari yako ya kwanza na una kipato cha kawaida tafuta gari zilizozoeleka. Hilo linamfaa mtu aliyezoea magari na hata akiambiwa shock absober ya mbele ni laki tisa hashtuki.

Halafu kwa bei hiyo hata kama ni FOB angalia vizuri lisije likawa ni yale majini maana huwa yanauzwa bei rahisi sana ili ukafie mbele

Ushauri murua. Tafuta hata toyota celica ina muundo kama huo lakin kwa kuwa ni toyota hutopata maumiv sana by then cc 1800 vvti inanusa tu kuliko hilo jini
 
Back
Top Bottom