Young atrick
Member
- Jan 23, 2023
- 25
- 7
Nasubiri ushauri wako baada ya wizara aipendayo kuitaja hapa!Unataka uende wizara gani
Mkuu, una Taaluma gani na ya kiwango gani?Poleni na majukumu Wana foramu nimatumain yangu mpo wazima wa afya tele.
Mm ni mtumishi wa mamlaka ya maji X . Ombi langu kwenu Ni kunisaidia zaidi kimawazo kwamba nitumie njia gani hasa niweze pata uhamisho kwenda wizara tofauti na hii niliyopo.?
Kwan nimejaribu Mara kadhaa kufuata taratibu za kuomba nafasi sehemu nayotaka kwenda Ila untill now amna respond . 🙏
1. Omba kuhama kwa gharama zako na ni baada ya kujiridhisha kwamba huko unakotaka kuhamia ipo nafasi wazi.Suala la uhamisho kwa Watumishi imekuwa tatizo kweli yaani Waajiri wamekuwa wanaziba mwanya wa Watumishi kuhama yaani nikipata mbinu namna ya kuhama kupitia huu uzi itakuwa vizuri
Usishangae mkuu, hayo yapo sana.
Mhhh! Kwa uandishi huu, nakushauri ubaki tu kwenye hiyo wizara uliopo! Kama imekubali kukupa ajira, itakufaa zaidi!Poleni na majukumu Wana foramu nimatumain yangu mpo wazima wa afya tele.
Mm ni mtumishi wa mamlaka ya maji X . Ombi langu kwenu Ni kunisaidia zaidi kimawazo kwamba nitumie njia gani hasa niweze pata uhamisho kwenda wizara tofauti na hii niliyopo.?
Kwan nimejaribu Mara kadhaa kufuata taratibu za kuomba nafasi sehemu nayotaka kwenda Ila untill now amna respond . 🙏
Vipi mamlaka ya ulinzi ( SUNGUSUNGU) Unataka au yani unalinda kwa kirungu jambazi anakuja na bastolaPoleni na majukumu Wana foramu nimatumain yangu mpo wazima wa afya tele.
Mm ni mtumishi wa mamlaka ya maji X . Ombi langu kwenu Ni kunisaidia zaidi kimawazo kwamba nitumie njia gani hasa niweze pata uhamisho kwenda wizara tofauti na hii niliyopo.?
Kwan nimejaribu Mara kadhaa kufuata taratibu za kuomba nafasi sehemu nayotaka kwenda Ila untill now amna respond . 🙏
Mkuu, una Taaluma gani na ya kiwango gani
UchukuziUnataka uende wizara gani
Diploma of electrical engineringMkuu, una Taaluma gani na ya kiwango gani?
Nasubiri ushauri wako baada ya wizara aipendayo kuitaja hapa!
UchukuziUnataka uende wizara gani
[emoji38][emoji1787]Imagine huyu ni mtumishi, hajui kuandika. Pumbavu kabisa
Umejisikiaje mpaka Moderator wamekuandikia uziUchukuzi