Msaada: Nataka kuchimba kisima

Msaada: Nataka kuchimba kisima

Kyooma

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2013
Posts
224
Reaction score
98
Wazima wakuu. naitaji kuchimba kisima maeneo ya VIGWAZA MBUYUNI naomba mwenye kujua gharama za pale kwa wale wenye uzoefu na maeneo ya uko. pia naomba mwenye contact za company za uchimbaji .kuna uzi kipindi cha nyuma nlisoma unahusu gharama za kuchimba visima maeneo mbalimbali naomba anaeweza ku attach anisaidie apa. Natanguliza shukurani
 
Kuwa makini na wachimbaji wa kwenye mitandao kama sio dalali basi ni Tapeli.
 
Back
Top Bottom