Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,071
Tuliza
Kinyeo mbwa weweInaweza kuwa anabadili dini ili apate teuzi ya sa100.

Njoo wewe na Mungu wako niwakushikishe ukuta kyuma nyie.Tuliza kinyeo hicho mbwa wewwe
Kwa kuongeza, hata maana ya jina inatokana na maana aliyokusudia mtu aliyetoa jina. Yaani unaweza kumuita mtoto John lakini ukasema maana yake ni mwenye nguvu na mwingine akamuita John akasema maana yake ni mkulima.Waafrika sijui tuna shida gani , nani kakuambia kuna majina ya wakristo na waislam? Kwa taarifa yako kuna majina ya kiarabu , kifini, kijerumani, etc. Dini hazina uhusiano na majina Kabisaa ni ujinga tuliomezeshwa.
Pale ardhi kuna mtu anaitwa Msajili wa Nyaraka, huyo anasajili deed poll, anasajili power of attorneys na nyaraka nyingi. Sio lazima nyaraka hizo zihusiane na ardhiMasuala ya ardhi ni title deed acha kumpotosha.
kweli kabisa usemayoPale ardhi kuna mtu anaitwa Msajili wa Nyaraka, huyo anasajili deed poll, anasajili power of attorneys na nyaraka nyingi. Sio lazima nyaraka hizo zihusiane na ardhi
wewe ndio ujui,kujifunza sio ujingaMasuala ya ardhi ni title deed acha kumpotosha.
Mashallah Allah akuongozeHabari za muda huu wakuu,
Mimi ni Mkristo, nimeamua kubadili dini kuwa muislam kwa hiari yangu kabisa bila msukumo wowote.
Nimebadili jina langu la awali hivyo ningependa kubadili pia katika nyaraka zangu za kiserikali ikiwemo kitambulisho cha taifa (NIDA).
Je, ni utaratibu gani nifuate ili kuweza kubadili jina langu la awali na kupachika jina jipya ambalo litatambulika kisheria mpaka kwenye NIDA? Msaada wenu jamani naomba mnipe mbinu![]()
Mashallah...Allah akuongoze katika dini ya kwl a dini ya asili ya mwaadam...ya mungu mmoja tu..hana mshirikaHabari za muda huu wakuu,
Mimi ni Mkristo, nimeamua kubadili dini kuwa muislam kwa hiari yangu kabisa bila msukumo wowote.
Nimebadili jina langu la awali hivyo ningependa kubadili pia katika nyaraka zangu za kiserikali ikiwemo kitambulisho cha taifa (NIDA).
Je, ni utaratibu gani nifuate ili kuweza kubadili jina langu la awali na kupachika jina jipya ambalo litatambulika kisheria mpaka kwenye NIDA? Msaada wenu jamani naomba mnipe mbinu![]()
Hebu eleza uhusiano wa jina na dini, naona umedandia gari usilolijua.Habari za muda huu wakuu,
Mimi ni Mkristo, nimeamua kubadili dini kuwa muislam kwa hiari yangu kabisa bila msukumo wowote.
Nimebadili jina langu la awali hivyo ningependa kubadili pia katika nyaraka zangu za kiserikali ikiwemo kitambulisho cha taifa (NIDA).
Je, ni utaratibu gani nifuate ili kuweza kubadili jina langu la awali na kupachika jina jipya ambalo litatambulika kisheria mpaka kwenye NIDA? Msaada wenu jamani naomba mnipe mbinu![]()
Hapana mkuu hata change of names unaenda ardhi ndiyo utaratibu.Masuala ya ardhi ni title deed acha kumpotosha.
Ametonywa bandari ya DPW, bila hivyo ataishia kuiona kwenye pantoni.Unataka kwenda kufanya kazi za ndan uarabuni?
Sio kweli mkuu. Ni zoezi fupi tu ili mradi awe na nyaraka zitakzohitajika tu.Dah! Umechagua njia ngumu sana ya kupita. Yaani kirahisi tu ubadili mpaka vyeti vya elimu, kitambulisho cha Taifa, nk!!!
Nadhani huo mchakato unaweza kukuchukua hata miaka 20 na usifanikiwe kuukamilisha.
Mpaka kwenye vyeti vyake vya kielimu ulifanikiwa kubadilisha!!Sio kweli mkuu. Ni zoezi fupi tu ili mradi awe na nyaraka zitakzohitajika tu.
Change of names ipo kisheria na taratibu zake zipo wazi. Kuna dogo nilimfanyia hilo zoezi na majina yake sasa yanasomeka mapya.
Ndiyo mkuu. Ukimalizana na mamlaka hasa ardhi na mambo kadhaa ya kisheria huko kwingine ni kupeleka nyaraka za mabadiliko ya majina wanajiridhisha wanabadilisha.Mpaka kwenye vyeti vyake vya kielimu ulifanikiwa kubadilisha!!
Mimi nmewah fika Kwa wakili na Kwa msajili nikakamilisha siku hiyohiyo.usimpotoshe kama hujui kaa kimya deed utaipata wazara ya ardhi kwanza unaenda kwa wakili unamuelezea yeye ndio atakuandikia deed pol utachukua itaenda ardhi na huko ndiko utakuwa imebadilisha jina watakuambia urudi wiki mbili unaendea karatasi hiyo ya deed pol utakuwa umeisha maliza kuna malipo kidogo ardhi na wakili ni mapatano kama elfu 20 au 10
Umesahau na Mabikira 72 wenye nywele ndefu mpaka Magotini.Mashallah...Allah akuongoze katika dini ya kwl a dini ya asili ya mwaadam...ya mungu mmoja tu..hana mshirika
TakbiirHuyo Sheikh aliyekubasilimisha mtumie huyohuyo kwa hayo mambo mengine
Hongera kwa kuijua Kweli.Habari za muda huu wakuu,
Mimi ni Mkristo, nimeamua kubadili dini kuwa muislam kwa hiari yangu kabisa bila msukumo wowote.
Nimebadili jina langu la awali hivyo ningependa kubadili pia katika nyaraka zangu za kiserikali ikiwemo kitambulisho cha taifa (NIDA).
Je, ni utaratibu gani nifuate ili kuweza kubadili jina langu la awali na kupachika jina jipya ambalo litatambulika kisheria mpaka kwenye NIDA? Msaada wenu jamani naomba mnipe mbinu![]()
Daah hapo inakubidi uende katika ofice za nida kwanza uulize alafu uangalie utaambiwa niniHabari za muda huu wakuu,