Msaada nataka kuanziasha financial institution | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada nataka kuanziasha financial institution

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mekwedweet, Feb 23, 2012.

 1. m

  mekwedweet Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 12
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Nataka kuanziasha financial institution. Wadau naomba msaada Wa procedures za kuanzisha hiyo biashara. Tayari nina investors walio tayari kutoa funds za capital na operations. Napatikana kwenye 0713 455 002 kwa mawasiliamo zaidi.
   
 2. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu ungekuwa muwazi, ingekusaidia wewe binafsi na wale wanaotaka kukusaidia. Procedure zinatofautiana kulingana na aina ya FI unayotaka kuanzisha. Wewe unataka kuanzisha ya muundo gani?
   
 3. m

  mtuporimtupori Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 24, 2009
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Unataka kuanzisha bank, insurance company au microlendinging institution?
   
Loading...