wacha tu niagize.., maana nakosa fursa hii adhimu.., nasika imebaki kidogo tu mafuta yaanze kugawiwa bure huko soko la dunia..Kwa mwaka juzi walikuwa wana zalisha pipa elfu kumi kwa sasa nadhani itakuwa zaidi,pi yaliyo safishwa mpwa.
Hakika,kama sahivi ni pesa kiduchu hamna namna mpwa agizia tu na ukifanikiwa olz bijulisheNimekusikia na kukuelewa.Nobody wants to do what I did,and trust me,I ant proud of it.Anyway,I'm not trying to clean my hands...but I believe hata wewe mheshimiwa uta-react in a certain way kama utatukanwa na mtu pasipo sababu.Utu uzima is one thing,kuvumilia maneno machafu is another.However,in the name of peace I wont respond to anything written against me.