Msaada, nataka kuagiza mafuta yangu mwenyewe

Sio tanzania Mafuta yote yanaagizwa na kampuni moja iliyopata tender ili kudhibiti bei sokoni
 
Tafuta muarabu au mnaijeria kule mitandao ya twita au fesibuk, mtumie pesa mwambie akutumie kwa DHL au FEDEX...
 
Ukishindwa kuagiza uliza South Africa wana mbinu yao wanaiita Gasification ya makaa ya mawe kutoa diesel,petrol na hata mafuta ya ndege kwa kupitia kampuni yao SASOLBURG phase 3..
 
Usipoteze muda uganda yamejaa bei chee kabisa,vuka mtukula tu mpwa ukajizilee wese
 
Back
Top Bottom