Nimekaa sana mtaaan nataka nikapige short course ya tour guide

Bless21

Member
Joined
Aug 20, 2022
Posts
71
Reaction score
92
Ebhana eeh nimekaa hapaaa kitaaa nimepata msaada wa kupelekwa shule nikasome short course ya Tour guide japo hiko chuo kinatoa piaaaa issue za hotel management na mambo mengine nilichokipendea chuo kimetangaza kinataftia vijana AJIRA kabisaa baada ya kumaliza nimeona hii ndio fursa nzuri kwangu na mimi kufanya kitu ninacho kipenda kwa sasa

Comment zenu wadau?
 
Daah!hongera Sana Kama bado unamoyo wa kusoma

Kwa upande wangu baada ya kugraduate Miaka 2 -3 nikojobless Sina hamu na inshu za kusoma

Hapa nawaza vibarua tu vya kujipatia chochote kitu ili maisha yasonge mbele
 
Back
Top Bottom