Penguin-1
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 406
- 65
Habari,
Natafuta mtu wa kunifundisha kutengeneza mabango ya taa haya ya kwenye frames za biashara.
Kuna sehemu kuna fursa nataka niifanyie kazi.
Nipo tayari kulipia huduma hii
Napendelea mtu Anayefanya biashara hii ili nijifunze pia namna ya kupanga bei na kupata materials.
Nitakuja ulipo kujifunza.
Unaweza nicheki whatsapp 0754964911.