S Slm Senior Member Joined Jan 26, 2011 Posts 103 Reaction score 4 Jul 4, 2017 #1 Ninasimu aina ya PHILIPS Xenium w6618 imevunjika kioo naomba msaada pakuipata screen imekufa kabisa siwezi kufanya chochote ila inawaka. Natanguliza shukrani kwanza
Ninasimu aina ya PHILIPS Xenium w6618 imevunjika kioo naomba msaada pakuipata screen imekufa kabisa siwezi kufanya chochote ila inawaka. Natanguliza shukrani kwanza
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,830 Reaction score 12,292 Jul 4, 2017 #2 Tafuta nyingine ndo mda wake wa matumizi kwisha huo.