MSAADA: Natafuta kazi yeyote

LITONO

Member
Sep 21, 2015
61
8
Habari zenu wanaJF.. Mimi ni kijana (me) mwenye umri wa miaka 25. Elimu yangu ni kidato cha 6 (PCB).. Nmehitimu mafunzo ya JKT (mujibu wa sheria).. natafuta kazi yoyote ile (kufundsha, kilimo, ulinzi n.k). Naomba mwenye taarifa anitafte kuptia 0766565112 AU 0683891925. Asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom