Msaada:Natafuta Geek wa MS-Excel(urgent) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada:Natafuta Geek wa MS-Excel(urgent)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by snochet, Sep 28, 2012.

 1. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  habari wandugu,nimekwama na kazi flani,just because template ninayotumia kila siku leo imeninunia,can someone who is a long-time proffessional wa MS-Excel aniPM....i seriously need help on this.....Stuck on a friday kazini....arrghhh

  please........ C6 Excellent Dumelang,--------my JF geeks,if you wont mind....Asanteni
   
 2. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  kukuPM kwa nini?? kama ni mjadala uwekwe wazi....sema tatizo lako hadharani watu watakusaidia, sio kuPM...kuna uprivate gani kwa suala hilo?? muwe waelewa kwa suala la PM jamani khaaaaaaaa!!!! sema shida yako.....(sio uni PM)
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,417
  Likes Received: 22,323
  Trophy Points: 280
  anamwogopa boss wake, naye ni jf member
   
 4. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Weka shida usaidiwe Mkuu ukificha hipati mtu wa kukuPM, hatutaki uweke wazi kazi yako bali weka tatizo tu.
   
 5. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  ungeelezea tatizo lako hapahapa nna uhakika ungeweza kupata msaada haraka
   
 6. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  nawashukuru....nimeshapata solution hukuhuku,,,,,,asanteni,,,,,,it was an official document,isingekuwa wise kuanika doc ya ofisi JF,,,na pia ni excellfile yenye formulas,nisingeweza kukuelewesha kwa JF...
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  haya lilikuwa linafanyaje sasa ili hata sikunyengine likitokea tatizo kama lako mtu ajue nini cha kufanya sawa mkuu..
   
Loading...