Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,840
- 9,984
Amani kwenu,
Binafsi namshukuru Mungu ameendelea kunijaalia mafanikio makubwa katika hii biashara yangu ya vile vitanda vya moja kwa moja(majeneza)
Sasa nimekusanya kiasi cha pesa sh milioni 7 cash. Naomba kwa anayeweza kuniuzia gari ndogo ya bei hiyo tuwasiliane pm kwa mawasiliano na picha za gari hilo.
Liwe katika hali nzuri na lisilokula mafuta sana.
Karibuni sana.