Msaada: Natafuta fundi mzuri wa Computer Morogoro

Msaada: Natafuta fundi mzuri wa Computer Morogoro

MZEE MSASAMBEGU

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,780
Reaction score
2,555
Wakuu laptop yangu imezingua button ka nne hivi za keyboard zimeongozana hazi function.tatizo nahc ni hardaware so natafuta fundi mzuri wa hardware hapa morogoro wa uhakika anayeweza kunirekebishia mara moja and asiwe na bei ghali sana.

Kwa ambae ushawahi experience tatizo kama langu msaada wa ushauri plizz nifanyaje kupata solution ya tatizo NB:fundi kama yupo nakuletea laptop yangu unafungua wakati nipo unarekebisha tunalipana nachukua computer yangu nasepa siachi computer kwa fundi
 
Njoo pm tukusaidie online. Matatizo ya kompyuta huwa ni yale yale
 
Njoo pm tukusaidie online. Matatizo ya kompyuta huwa ni yale yale
Mkuu ahsante tatizo nahc ni hardware sio software and natumia simu kuingia jf so nitashukuru kama utanimwagia maujuzi hapahapa ili nawengine wenye tatizo kama langu waweze kunufaika
 
Back
Top Bottom