MTAZAMO Platinum Member Joined Feb 8, 2011 Posts 20,144 Reaction score 35,624 Oct 22, 2020 #321 OKW BOBAN SUNZU said: Tunaomba kujua CV ya Ndugu Gwajima ambaye ni Askofu na mwanasiasa. Huyu ndugu amekuwa maarufu sana kwa miaka ya hivi karibuni hasa kuanzia 2015. Nimetamani kujua elimu yake kwa ujumla tujue kama ni msomi kweli au ujanja-ujanja tu. Click to expand... Hizi CV huwa mnazikumbuka watu wakihama Chadema?
OKW BOBAN SUNZU said: Tunaomba kujua CV ya Ndugu Gwajima ambaye ni Askofu na mwanasiasa. Huyu ndugu amekuwa maarufu sana kwa miaka ya hivi karibuni hasa kuanzia 2015. Nimetamani kujua elimu yake kwa ujumla tujue kama ni msomi kweli au ujanja-ujanja tu. Click to expand... Hizi CV huwa mnazikumbuka watu wakihama Chadema?
naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,989 Reaction score 5,510 Oct 22, 2020 #322 Ncha Kali said: Elimu ya ya Gwajima ni ya hapa na pale, alianzia madrassa akiitwa Rashidi. Click to expand... Hana cha madrasa wala nini, kawachamba Sana Islam sasa anawahitaji inabidi ajipe hilo jina ili wajinga wajue ni mwenzao wenye akili zetu tumemstukia Bora Kura yangu iharibike kuliko kumpa huyo mcheza xxxp
Ncha Kali said: Elimu ya ya Gwajima ni ya hapa na pale, alianzia madrassa akiitwa Rashidi. Click to expand... Hana cha madrasa wala nini, kawachamba Sana Islam sasa anawahitaji inabidi ajipe hilo jina ili wajinga wajue ni mwenzao wenye akili zetu tumemstukia Bora Kura yangu iharibike kuliko kumpa huyo mcheza xxxp