Msaada:Natafuta chumba maeneo ya Magomeni mapipa

bab N

Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
75
Reaction score
35
Kwa mtu yyte mwenye taarfa yyte anisaidie nahitaj chumba maeneo ya magomeni mapipa...
Najiandaa kujiunga na chuo cha D I T hivyo nilihitaj huduma hiyo ya makaazi maeneo ya mapipa t...ahsanteni
Ambae yupo na taarfa yyte naomba ani PM tufanye biashara....
 
Kesho nitakutumia namba za dalali magomeni mapipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…