Kesho nitakutumia namba za dalali magomeni mapipaKwa mtu yyte mwenye taarfa yyte anisaidie nahitaj chumba maeneo ya magomeni mapipa...
Najiandaa kujiunga na chuo cha D I T hivyo nilihitaj huduma hiyo ya makaazi maeneo ya mapipa t...ahsanteni
Ambae yupo na taarfa yyte naomba ani PM tufanye biashara....