G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,655
- 8,708
Kwa nini unataka ifutwe? Post nyingine pia hutumika kutoa elimu kwa wengine..FORUMS naomba msifuteNimeshapata msaada tayari. JAMII FORUMS naombeni mnisaidie kufuta hii post. Ahsanten [emoji120]
Kwa nini unataka ifutwe? Post nyingine pia hutumika kutoa elimu kwa wengine..FORUMS naomba msifuteNimeshapata msaada tayari. JAMII FORUMS naombeni mnisaidie kufuta hii post. Ahsanten [emoji120]
Wanawake wengine mtihani kweli, nawaza ni raha gani unayoitafuta kama baad y tendo mara haja ikutoke bila taarifa, hizo karaha za mavi kutoka ni kubwa kuliko hyo raha ya sekunde unayoipata ukifanya huo uchafu, Allah anikingre na hili wallah lkn bado sijaona sbabu yoyote ya msingi ya wewe kumpa huyo mwanaume sehem aliyokukataza mola wako kuitumiaKamtupia zigo la kupakuliwa mavi mumewe ila hiyo ni michezo yake ya siku nyingi na kuacha kashindwa. Huwezi kuvuja damu kisha ukaendelea na huo mchezo kisa mume kama chanzo sio wewe can't you see this?
Umejuaje umepata msaada wakati hujapona bado? Subiri wajeJAMII FORUMS naombeni mnisaidie kufuta hii post. Tayar nimepata msaada
Kama ningekuwa wewe huyo mwanaume ningemuacha.unless kama wewe hicho kitendo unaifurahia.Unaweza kunisaidia nisaidie. Huwez kaa kimya. Nikiwaga na tatizo Comments kama hizi huwa zinanivunja sana moyo. Plz
Unaelekea uko hatua za awali za kupata tatizo la HAEMORROIDS ambalo hupelekea RECTAL PROLAPSE na hata Cancer ya Rectum.Habarini za muda huu wapendwa,
Mficha maradhi kifo humumbua, mimi nina mme wangu wa ndoa lakini anapenda kuniingilia kinyume na maumbile, naumia sana kitendo hicho lakini tuyaacheni, twendeni kwenye mada
Hivi sasa imekua miezi kadhaa akiniingilia kinyume na maumbile akichomoa mashine inatoka na damu kidgo, then nikienda kujisaidia haja kubwa inatoka na damu kidogo then inakata, ilikuwa hivyo na wala sisikii chochote kama nimeumia najihisi normal tu... Japokuwa sio mara zote kila nikifanya lazima damu itoke hapana.
Kuna muda tutafanya kawaida tu hakitoki kitu, sasa hii juzi tulifanya shoo kama kawaida, baada ya show damu zilitoka kidg na baada ya hapo nikaanza kupata maumivu ya tumbo, hadi sasa ni karibu week napata maumivu ya tumbo, nimeenda hospitali nimetolewa vipimo nimeambiwa sina infection yeyote.
Japo sikujitambulisha kama naingiliwa kinyume, wao walinitoa tu vipimo, Sasa nawaombeni kwa wenye uelewa mnisaidie cha kufanya ili nipone, ( halafu saiv nikifanya tu lile tendo baadae nasikia maumivu ya tumbo) nisaidieni
Msinihukumu kwani hamjui ni yepi nilipitia hadi nikawa hapa, then nikishapata msaada, nitawaomba JamiiForums wanisaidie kufuta hii post.
Ahsanteni
Ye mwenyewe anapenda inaonekana angekua hapendi ashaacha au ashatoka...!!!Kama ningekuwa wewe huyo mwanaume ningemuacha.unless kama wewe hicho kitendo unaifurahia.
Hata kama ni mme wa ndoa muache wanaume wapo wengi huo ni unyama unaofanyiwa. Utapata shida sana wKati wa kujifungua.
Mmeo ni mkatili sana mimi nasikia mwanaume alieoa hawezi muingilia kinyume mke sana sana anafanya kwa mchepuka ila sio mke wake.
Huyo mwanaume hakufai dada.fanya maamuzi haraka.