Msaada: Nasumbuliwa na tumbo sana

Msaada: Nasumbuliwa na tumbo sana

Pole Sana. Kwa hiyo kitendo hicho utaendelea nacho maisha yako yote?. Ushauri waeleze madaktari ukweli utibiwe halafu urudi kwenu. Sio kila Jambo ni la kujaribu.
 
Na wewe unakubali kutinduliwa kwa faida gani! Anyway pole! Tumieni KY kama mnapenda Kutinduana!

Kutibu tumbo, tafta dawa ya kimasai ya mchafuko wa tumbo! Pia ramba asali Mara kwa Mara!

Mwisho ingawa si kwa umuhimu!
Mrudie Mungu, bibilia inasema OLE WAO WAPITAO MLANGO WA KUTOKEA!

..........Shika neno OLE WAO!......
Ukiinama kutinduliwa kumbuka neno OLE WAO.....Mungu anakuona unapofumuliwa utumbo wa mgongo! ......Ole wako
 
ni vyema kwa huo mchezo muwe mnatumia mafuta mengi kadili muwezavyo, yapo mafuta special kwa mchezo huo... tatizo lako linaweza kusababishwa na michubuko au hard fu**k ya mmeo bila mafuta ndio inaluletea maumivu....
 
Mleta mada NENDA KAMWELEZE DAKTARI UKWELI KAMA ULIOUELEZA HAPA
 
Dah hizi laana nyingine kwa kizazi chenu za nini sasa?
 
Unaweza kunisaidia nisaidie. Huwez kaa kimya. Nikiwaga na tatizo Comments kama hizi huwa zinanivunja sana moyo. Plz
Naomba namba yako kabla uzi haujafutwa.

Please ni muhimu.
 
Elewa ya kwamba kuolewa si kumaliza kila kitu Duniani...kuachana kwa kifo tu peke yake ni makosa makubwa ambayo watu wanafanya na kujikuta wakiishi kwa shida kubwa ktk ndoa na mahusiano.

1. Muambie aache mala moja kufanya hivyo ama la hasha[emoji116]

2. Toa taarifa kifamilia,kwenu na kwao kwa kikao maalum ambacho yeye hatajua na kuanzia hapo pita pembeni uendelee na maisha mengine bila yeye

Epuka [emoji116]

1. Kudhani kwamba yeye ni bora kuliko wengine

2. Kudhani yeye ni mzuri kuliko wengine

3. Amini kuna maisha ya Ndoa ya raha na kuheshimiana kuliko hayo uliyo nayo

4. Usiogope kuingia kwenye shida yoyote ya kiuchumi kwa sababu ya kumuacha kwake,yamkini unatoka familia isiyo na uwezo na wewe labda huna pa kushika isipokua yeye. Hilo lisikutishe, MUNGU hufungua usicho kijua.

Tchao.
 
...Pole,ngoja tuwasubili manguli wa hizo kazi wakuje kukushauri dada..
 
Mleta mada niko na dawa ya tatizo lako lakini tuonane uso kwa uso.
Ikikupendeza karibu PM.
 
halafu saiv nikifanya tu lile tendo baadae nasikia maumivu ya tumbo)
Kwa nini usimueleze huyo mlawiti unaemuita mmeo kuwa kwa sasa show za kuingiliwa nyuma mzisitishe kwa muda ili uangalie maendeleo ya tumbo lako kuuma
 
JAMII FORUMS naombeni mnisaidie kufuta hii post. Tayar nimepata msaada
 
Elewa ya kwamba kuolewa si kumaliza kila kitu Duniani...kuachana kwa kifo tu peke yake ni makosa makubwa ambayo watu wanafanya na kujikuta wakiishi kwa shida kubwa ktk ndoa na mahusiano.

1. Muambie aache mala moja kufanya hivyo ama la hasha[emoji116]

2. Toa taarifa kifamilia,kwenu na kwao kwa kikao maalum ambacho yeye hatajua na kuanzia hapo pita pembeni uendelee na maisha mengine bila yeye

Epuka [emoji116]

1. Kudhani kwamba yeye ni bora kuliko wengine

2. Kudhani yeye ni mzuri kuliko wengine

3. Amini kuna maisha ya Ndoa ya raha na kuheshimiana kuliko hayo uliyo nayo

4. Usiogope kuingia kwenye shida yoyote ya kiuchumi kwa sababu ya kumuacha kwake,yamkini unatoka familia isiyo na uwezo na wewe labda huna pa kushika isipokua yeye. Hilo lisikutishe, MUNGU hufungua usicho kijua.

Tchao.
Kamtupia zigo la kupakuliwa mavi mumewe ila hiyo ni michezo yake ya siku nyingi na kuacha kashindwa. Huwezi kuvuja damu kisha ukaendelea na huo mchezo kisa mume kama chanzo sio wewe can't you see this?
 
Kwa nini usimueleze huyo mlawiti unaemuita mmeo kuwa kwa sasa show za kuingiliwa nyuma mzisitishe kwa muda ili uangalie maendeleo ya tumbo lako kuuma
Kamtupia zigo la kupakuliwa mavi mumewe ila hiyo ni michezo yake ya siku nyingi na kuacha kashindwa. Huwezi kuvuja damu kisha ukaendelea na huo mchezo kisa mume kama chanzo sio wewe can't you see this?
 
Nimeshapata msaada tayari. JAMII FORUMS naombeni mnisaidie kufuta hii post. Ahsanten [emoji120]
 
Back
Top Bottom