Msaada nasumbuliwa na jino

Msaada nasumbuliwa na jino

Nimeitoa Facebook.

SABABU ZA MAGONJWA YA MENO NA JINSI YA KUJITIBU
Kuna tafiti nyingi zinazoonyesha kuwa matibabu rasmi ya meno (yaani yale yanayotolewa na madaktari wa meno waliosajiliwa rasmi kama wataalamu wa fani hiyo), kuna wakati yanaweza kuharibu afya ya mgonjwa na kumletea magonjwa hatari ya kimfumo, yanayoweza hata kuhatarisha maisha yake.
Mfano ni matumizi ya mchanganyiko wa madini ya fedha, bati, shaba na zebaki (silver amalgam) katika kuzibia matundu ya meno. Madini ya zebaki (mercury) ni sumu na yamethibitika kusababisha magonjwa mengi ikiwa ni pamoja na yale ya mishipa ya fahamu, yale yanayotokana na uharibifu wa kinga za mwili, na yale ya akili.....
Ndefu lakin nimejitahidi kuisoma yote asante sana mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom