cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,653
Nilinunua 9000Bei gani
Nilinunua 9000Bei gani
Ina maana sensodyne ina uwezo wa kuponesha jino linalouma?Hii dawa ni kiboko aisee hata Bei yake iko vizuri, hakika siiachi itakuwa dawa yangu forever.
Ufumbuzi wa kudumu wa matatizo ya meno nunuwa DFP Dental formula power.Habari wana Jf
kama mada inavyo jieleza hapo juu nimekua nasumbuliwa na meno hasa haya magego kiasi kwamba nikinywa kitu cha baridi nasikia yanauma na mda mwingine upepo ukiingia mdomoni tu nasikia yanauma na yakiambatana na kichwa kugonga sana
Tupo hiyo formula tuondokane na maumivu ,wengine tupo mikoaniUfumbuzi wa kudumu wa matatizo ya meno nunuwa DFP Dental formula power.
Ofisi zao wapo ubungo plaza, au pharmacy ya kiomboi kisiriri.
Bei yake sijui kwa sasa ila ilikuwa sh 10,000/= ni herbalist treatment majani kama ya chai, unachemsha unasukutuwa kwa siku tatu hutopata tena matatizo ya meno, labda baada ya miaka 10 ndio unaweza kutumia tena.
Uwezo mkuu ndo unasababisha , sio kwamba wanapenda.Natumia hii dawa nzuri Sana nilikuwa napata ganzi ya meno Sana Ila yameacha. I wonder watu wanatumia hizi colgate wakati ubora wake duni
Ina maana sensodyne ina uwezo wa kuponesha jino linalouma?
Inasaidia Sana kuondoa maumivu na meno yanayouma uma, yaliyo yaliyo kwenye Hali mbaya yanafanyiwa treatment Kwanza, Ila ni dawa nzuriIna maana sensodyne ina uwezo wa kuponesha jino linalouma?
Ni Bora ujichaganye mkuu kuliko meno yaendelee kukutesaUwezo mkuu ndo unasababisha , sio kwamba wanapenda.
Nakubaliana na wewe mkuu, tatizo pia huwa ni vipaummbele! mtu anawaza, nikanunue dawa ya meno tsh 5000-10000 au ninunue colgate ya 2500 nyingine niongeze kwenye budget ya nyumbani!. Changamoto za maisha ni siri kubwa ambazo watu wamezihifadhi mkuu!.Ni Bora ujichaganye mkuu kuliko meno yaendelee kukutesa
Unakusanya hata kwa mwezi afya ya meno ni muhimu Sana aisee, maana jino kikianza. Kuuma hamna rangi utaacha ona. Mwenyewe hununua huku nimefunga machoNakubaliana na wewe mkuu, tatizo pia huwa ni vipaummbele! mtu anawaza, nikanunue dawa ya meno tsh 5000-10000 au ninunue colgate ya 2500 nyingine niongeze kwenye budget ya nyumbani!. Changamoto za maisha ni siri kubwa ambazo watu wamezihifadhi mkuu!.
Dawa inaitwa DFP, kirefu chake ndio Dental formula power.Tupo hiyo formula tuondokane na maumivu ,wengine tupo mikoani
Halafu anunue dawa ya kuswakia inaitwa sensodyne husaidia Sana meno hasa mabovu na yanayokufa ganzi
Itabidi niitafute maana Colgate naona hamna kitu siku hizi au sij ui ndio feki.Nilinunua 9000
Hyo nzuri Sana hyo dawaItabidi niitafute maana Colgate naona hamna kitu siku hizi au sij ui ndio feki.
Ndio inakopatikana maduka ya dawaPharmacy inapatikana ??
Mtihani nao huo! Ila, linaweza kuwa ni jino moja ndilo lenye tatizo, lakini maumivu yanakuwa kama ni meno mengi yenye tatizo.Kayang'oe hospital ndiyo solution pekee
Asante sanaHuumwi meno yote nenda kwa dentist, ayazibe yaliyochimbika Sana ayafanyie root canal na kuyaziba tena nenda hospital ya serikali usikimbilie kung'oa watapiga x-ray kujua jino lililochimbika, with technology sikuhizi watu hawang'oi, ugua pole
Asante mkuuUfumbuzi wa kudumu wa matatizo ya meno nunuwa DFP Dental formula power.
Ofisi zao wapo ubungo plaza, au pharmacy ya kiomboi kisiriri.
Bei yake sijui kwa sasa ila ilikuwa sh 10,000/= ni herbalist treatment majani kama ya chai, unachemsha unasukutuwa kwa siku tatu hutopata tena matatizo ya meno, labda baada ya miaka 10 ndio unaweza kutumia tena.
Pole sana