Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,027
Naomba mnisaidie, nipo ninapiga mashine yangu window 7 ila inagoma kuformat disk ambayo window inatakiwa iingie.
Pili ukinext inaanza kukocopy files na ku expanding Windows files mpaka 100% ila ikifika kwenye completing installation inagoma na kuanza upya.
Mashine ni lenovo E 531 ina Window 10 nataka nibadili niweke 7 msaada tafadhali juu ya tatizo hilo.