Aaron
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,019
- 4,695
habari zenu.
natumia nokia N95 8gb.. Hapo mwanzo nilikuwa nadownload na kusave applications lakini sasa nikijaribu kudownload inaniandikia File corrupted... Certificate check iko sawa.. Application ninazojaribu kudownload ni ndogo kulingana na uwezo wa simu.. Pia memory ipo space ya kutosha.