MSAADA: NASHINDWA KUCONECT SIMU YANGU NA COMPUTER KUPITIA USB CABLE

Dringia

Member
Sep 17, 2016
72
61
Habar wakuu,
Nimekuwa kila mara nikijaribu ku-connect computer yang na simu ili nihamishe files, computer inashindwa kuunganisha na sim akat kwenye sim inanionesha USB FOR FILE TRANSFER. Sasa nashindwa kuelewa tatizo n computer au maana nimekuwa nikijaribu sim tofaut tofaut bila mafanikio.. natumia computer aina ya dell kama inavoonekana hapo, na sim natumia samsung J7 PRO

Naomba mwenye ujuz na hii kitu anisaidie tafadhal
1553512407381.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama pc hai detect simu jaribu ku badlisha USB nyingine, simu inaweza ikakuletea notification kuonesha kama ime connect lakini hai display kwenye PC kwasababu USB cable haipitishi data

Sent using unknown device
 
Kama USB cable bado inakusumbua na lengo ni kutransfer mafiles nakushauri utumie Airdroid app.

Airdroid inasaidia kuhamisha kitu chochote toka kwenye simu kwenda kwenye kompyuta na kutoka kwenye kompyuta kwenda kwenye simu.

Kwa mfano, airdroid inaweza transfer apps ulizoinstall kwenye simu na kuzihifadhi kwa mtindo wa apk kwenye kompyuta, pia mafile yoyote.

Hii app inatumia connection ya Wi-Fi.

Na ili uweze kuitumia utatumia browser ya kompyuta na kisha unaingiza IP address itakayojitokeza kwenye simu.
 
Back
Top Bottom