Mhaya wa Arsenal
Member
- Dec 14, 2018
- 89
- 166
nahisi kama vile umechelewa pia, naona wengi wanaomba March hukoWakuu habari za wakati huu,
Nakuja kwenu with a humble plea: Msaada in finding a practical training opportunity. (FIELD). Am currently a 2nd year student hapa UDSM (UDBS)
I've been to numerous companies, handing out barua, but wapi. One trick naikuta kote, its humbly said tutakupigia = ndo nitolee, unajiongeza unapita kushoto.
Ila bado naamini that with your guidance, I can develop the skills necessary to succeed in this finance industry.
With gratitude and unwavering perseverance,
Kijana wenu.
Mobile. +255 733 139 827
Email anatory.cfa@gmail.com
πAsante mkuu. Thanks for sharing experience yako.Pole, wenye msaada watakutafuta.
Hata mimi miaka hiyo ya zamani nimewahi kumbana na changamoto kama yako lakini baadae mambo yalikaa sawa nikapata nafasi.
Nilisoma course ambayo ilikuwa ngeni hivyo kupelekea ugumu wa kupata sehemu ya kufanyia mazoezi.
Volunteering π€£π€£π€£free kbs unakuta hawakupokeiImekuwa ni changamoto sana kwa vijana wengi wasiojuana na watu kupata FPT stations. Most wanakuwa discouraged na sehemu nyingi wanazoomba na hapo ni fields tu, bado hujazungumzia mambo ya volunteering na sio kama vituo hamna ni ukiritimba na urasimu tu.
π shukran mkuuKila la kheri, wadau wapo humuhumu.
Naam nakubaliana na wewe kuwahi. Pia na mimi nimewahi kutuma lakini hadi sasa hakuna jibu.Mimi huwa nashangaag kwaza mtu unakosaje field mimi wakata nasoma najua mwezi fulani nafanya field nasambaza barua za field miezi mitatu kabla na ukiwa unasoma lazima uwe unafanya research ndogo ndogo ili ujue ni maeneo gani kwako ni vyepesi kupata kazi au kufanya field
π πVolunteering π€£π€£π€£free kbs unakuta hawakupokei
Ngoja nilifanyie kazi hilo kiongozi wangu.Mkuu boresha vizuri unaweza kuandika kwa Kiswahili ili ujumbe uwafikie watu wengi