Msaada: Napata maumivu baada ya kumaliza tendo

mtati pro

Member
Apr 30, 2022
10
4
Habari za humu ndani wanajamiiforums! niende moja kwa moja kwenye point, Kila nikikutana na mwanamke baada ya kumaliza tendo hua napata maumivu makali kwenye uume.

Kwa anaefahamu suluhisho la tatizo hili jamani anisaidie maana hospital nimeenda lakini shida bado haijatatulika.
 
Nenda hospitali, kamuone daktari atakaushauri vipimo na utasaidiwa.....
 
Madhara ya kutumia mkongo na kujichua kwa muda mrefu..nakushauri kaa miezi 6 bila kusex.

Uupumzishe uume uweze kuregenerate tissue cells.

#MaendeleoHayanaChama
 
I
Madhara ya kutumia mkongo na kujichua kwa muda mrefu..nakushauri kaa miezi 6 bila kusex.

Uupumzishe uume uweze kuregenerate tissue cells.

#MaendeleoHayanaChama
Ivi ukipumzika kwa muda flani hata kama kulikuwa na cells ziko damaged zinaweza pona kumbe
 
Madhara ya kutumia mkongo na kujichua kwa muda mrefu..nakushauri kaa miezi 6 bila kusex.

Uupumzishe uume uweze kuregenerate tissue cells.

#MaendeleoHayanaChama
Hapo pia akipata asali iliyonzuri haijachakachuliwa, awe anaipakaa na kumassage uume walau kwa week moja tu, itamsaidia katika kuzigenerate kwa haraka,
La msingi zaidi zingatia hiyo miezi sita ya kutojihusisha na chochote
 
nitafanya hivyo mkuu
 
Muhimu hospital kwanza, pia pumzika Kwanza Kwa muda na hayo maumivu unayasikia Kwa wapi? Ni kwenye misuli? Au Kwa ndani kabisa kama kidonda?
 
Back
Top Bottom