Msaada: Napata error massage hii kwenye pc yangu

Kurunzi

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
10,196
Reaction score
11,623
Wadau naombeni msaada kila ninapowsha pc yangu nakumbana na massage error hii:
C:\Windows\System32\ctl3dv232.dll is either not designed to run on Windows or it contains an error. Try installing the program again using the original installation media or contact you system administrator or the software vendor for support.

Pia picha hazionekani na baadhi ya mafile hayafunguki tafdhali naombeni msaada wenu nini nifanye.
 
maana yake ni kuwa kuna program uliyoinstall inatatizo (maybe ime corrupt kwa virus au wakat wa kuinstall kuna faili haiku copy vizuri, au umeinstall program kwenye window isiyo support hiyo program ) so pc inapowaka na kuanza kuload hiyo program hilo file halionekani au halisomeki na window system...

cha kufanya , kwanza itambue hiyo program ni program gani ...(kama huijui fatilia program ya mwisho kabisa kuinstall kabla ya hili tatizo kuanza).
pili tafuta system requirements ya hiyo program uangalie kama ni compatible na OS unayotumia.
tatu, kama ni compatible then i unstall yote kisha uinstall upya kwa umakini zaidi (kuna baadhi ya program huwa zinaleta message flani hivi kama options ambazo watu wengi sana huwa hawasomagi wao ni next next next tu matokeo yake inakuletea shida baadae kwa kutochagua options sahihi kulingana na system yako!!
zaidi ya hapo...inawezekana pia ikawa ni virus wame corrupt hiyo program so ni bora u scan na pc yote kabisa..
 
Hahaha...wewe jamaa umenifurahisha sana...MASSAGE =/= MESSAGE.

Back to qn:
- inaweza kuwa virus infrection

- ama kweli hiyo DLL imekuwa corrupt.

solution:
- jaribu ku-download that specific DLL and reinstall it!
 
kwanza hiyo dll inaonekana ni part ya OS coz path inayoonyeshwa ni ya system, so problem inaweza kuwa ni virus infection! Jaribu kuinsert cd ya os unayotumia then ujaribu kufanya repair! Kwani unatumia window gani?
 
maana yake ni kuwa kuna program uliyoinstall inatatizo (maybe ime corrupt kwa virus au wakat wa kuinstall kuna faili haiku copy vizuri, au umeinstall program kwenye window isiyo support hiyo program ) so pc inapowaka na kuanza kuload hiyo program hilo file halionekani au halisomeki na window system...

cha kufanya , kwanza itambue hiyo program ni program gani ...(kama huijui fatilia program ya mwisho kabisa kuinstall kabla ya hili tatizo kuanza).
pili tafuta system requirements ya hiyo program uangalie kama ni compatible na OS unayotumia.
tatu, kama ni compatible then i unstall yote kisha uinstall upya kwa umakini zaidi (kuna baadhi ya program huwa zinaleta message flani hivi kama options ambazo watu wengi sana huwa hawasomagi wao ni next next next tu matokeo yake inakuletea shida baadae kwa kutochagua options sahihi kulingana na system yako!!
zaidi ya hapo...inawezekana pia ikawa ni virus wame corrupt hiyo program so ni bora u scan na pc yote kabisa..

Nashukuru sana mkuu nimefanikiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom