"Never ever trust a woman" women are like car accessories to men we can do without them.Ndungu zangu naombeni ushauli mliopo kwenye relation kwa muda mlefu kiukwel kabisa namuonea wivu sana girls friend wangu hususani kwe nye kumuamin simuamin ata kidogo ila sijawahi mfumania wala kumkuta na JAMAA ila kuna tetesi tu kuwa kuna JAMAA alikua ana imbisha. Inilikuja kumuuliza aka sema nikwel aliwahi kunitongoza ila nikawa na musanga danganya tu ila nimeshindwa kumuamin kabisa ana nipenda na mpenda nifanyaje wivu unipoteee natanguliza shukran zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zetu sio nzuri sana na wala mbaya sana, sijui wewe?Ndungu zangu naombeni ushauli mliopo kwenye relation kwa muda mlefu kiukwel kabisa namuonea wivu sana girls friend wangu hususani kwe nye kumuamin simuamin ata kidogo ila sijawahi mfumania wala kumkuta na JAMAA ila kuna tetesi tu kuwa kuna JAMAA alikua ana imbisha. Inilikuja kumuuliza aka sema nikwel aliwahi kunitongoza ila nikawa na musanga danganya tu ila nimeshindwa kumuamin kabisa ana nipenda na mpenda nifanyaje wivu unipoteee natanguliza shukran zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
but I deny it if I submit to love mmmh kambale OK poa bloo ooMwanamke sio wa mmoja dogo.. halafu unavyozidisha wivu juu yake ndio unajitengenezea sababu ya kuachwa. Unakua msumbufu with a lot of insecurities hilo linamuudhi mwisho anakuona kambale tu.
almost for consultation ndgu yangHabari zetu sio nzuri sana na wala mbaya sana, sijui wewe?
Zipo zipo tu.Habari zetu sio nzuri sana na wala mbaya sana, sijui wewe?
HahahZipo zipo tu.
Zake mbaya si unaona dogo ana wivu na demu wake Eti.
Kama ana wivu na mshauri akae pemben na mapenziZipo zipo tu.
Zake mbaya si unaona dogo ana wivu na demu wake Eti.
Kabla hujaanza kupenda Jarbu kwanza kujifunza kuandika...... Muda unaoutumia ktk Mapenzi unaweza kuwekeza ktk kujifunza kuandika.Ndungu zangu naombeni ushauli mliopo kwenye relation kwa muda mlefu kiukwel kabisa namuonea wivu sana girls friend wangu hususani kwe nye kumuamin simuamin ata kidogo ila sijawahi mfumania wala kumkuta na JAMAA ila kuna tetesi tu kuwa kuna JAMAA alikua ana imbisha. Inilikuja kumuuliza aka sema nikwel aliwahi kunitongoza ila nikawa na musanga danganya tu ila nimeshindwa kumuamin kabisa ana nipenda na mpenda nifanyaje wivu unipoteee natanguliza shukran zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna transformation generation inaendelea, sasa vigezo vya mahusiano ni pesa, kama unazo endelea, kama huna ni vizuri uwekeze akili yako kwenye financial stability, maana huyo mtaachana tu nakwambia.Ndungu zangu naombeni ushauli mliopo kwenye relation kwa muda mlefu kiukwel kabisa namuonea wivu sana girls friend wangu hususani kwe nye kumuamin simuamin ata kidogo ila sijawahi mfumania wala kumkuta na JAMAA ila kuna tetesi tu kuwa kuna JAMAA alikua ana imbisha. Inilikuja kumuuliza aka sema nikwel aliwahi kunitongoza ila nikawa na musanga danganya tu ila nimeshindwa kumuamin kabisa ana nipenda na mpenda nifanyaje wivu unipoteee natanguliza shukran zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
you think you are very perfect and very stupidKabla hujaanza kupenda Jarbu kwanza kujifunza kuandika...... Muda unaoutumia ktk Mapenzi unaweza kuwekeza ktk kujifunza kuandika.
Ahsantee blooUshagongewa ila ndio hali halisi ya mahusiano. Ukikua utaacha wivu hata mimi nilikuwaga kama wewe.