Nina mtoto wa miaka mitano ila kwa bahati mbaya hatukuweza kuwa pamoja na baba yake, alinitesa sana kipindi tupo pamoja nikaamua kufanya maamuzi magumu na kumwacha,hatujaoana lakini.hajawahi kutoa mahari,hajawahi hata kumkomboa mtoto, wala ndugu zake kuja kwetu kujitambulisha kuwa wao ndo wenye mtoto hawajawahi, kwa ufupi wazazi wangu hawafahamiani kabisaa na wazazi wake. hapo kati aliharibu sana kwetu alikuwa akituma msgs kwa mama na baba yangu za ajabu ajabu kisa mimi simtaki.
tangu tuachane huyu baba mtoto hataki kuja kumwona mwanae anasema anamtia machungu akimuona,ila kazi yake kumuulizia tu, juzi kati akataka aje kumtoa out ila mama yangu akamwambia unaweza kuja kumwona hapa ila kutoka nae mpaka mfanye utaratibu wa kimila ndio utaweza kumchukua,baba mtoto akakasirika akasema kama ndo hivyo basi hataki mtoto atamtafuta akiwa mkubwa.cha kushangaza juzi ameenda shuleni kwa mtoto kumsalimia mtoto alilia saana hataki kumuona baba yake mpaka walimu wakambembeleza na kundanganyia na zawadi ndo akakubali.
mwalimu akanipigia simu kuniambia nikajisikia vibaya sana.mtoto alivyorudi nyumbani akasema "daddy amekuja shule mi nikalia"nikamuuliza kwanini umelia?akasema "simpendi,sitaki kwenda kwake".
kiukweli nilijisikia vibaya sana mtoto kusema hivyo,najua yote hayo ni kwasababu kipindi we were not in good terms alikuwa akimchukua mtoto halafu hasira zote anazimalizia kwake so nadhani ile kitu haijamtoka akilini.
ushauri naohitaji ni kwamba,je kuambiwa afwate taratibu ili aweze kumchukua mtoto bibi amefanya makosa?na anavyoenda shule kumtembelea mtoto anavyolia kuna picha walimu wanaipata nifanyeje kujenga picha nzuri?
kwa sasa mimi nina mchumba na tunataraji kufunga ndoa mwakani.