Nafikiri tukisema ukweli wazazi wa mdada ndio waliowafikisha hapo walipo. Unajua mtu akisha zaa na wewe unapo chukua maamzi mtoto lazima umzingatie sana tena sana , tofauti na unapokuwa hauna mtoto unajitazama mwenyewe so kuachana tu ni pigo kwa mtoto! sababu mahari? jamani ehm hizi mila msiziendekeze katika wakati huu ambao nafasi yake imepotea!!!!!!!!unaongea hivyo kwasababu sio mwanamke laity ungekuwa unajua hayo maumivu yanakuwaje wala usingeweza kuongea yote hayo....... na usingekuwa hata na ushauri wa kumshauri huyu dada.