Msaada: Naomba tiba ya maumivu haya

Msaada: Naomba tiba ya maumivu haya

Huu ugonjwa ni mpya na hao wataalamu hawaujui.
Matibabu wanayotoa ni ya kubahatisha kwani maumivu badala ya kupungua au kuisha, yanaongezeka
Kukanda kwa maji ya moto kwa maoni yangu ndiyo tiba nafuu na sahihi kwa sasa.
Mimi ni muadhirika wa huo ugonjwa na siyo daktari
pole sana my dear,tuendelee kupeana updates ukipata suluhu
 
Back
Top Bottom