Asante sana mkuu Mungu akubariki .nitakwenda huko.ubarikiwe👏
Ndio the best hapa Dar?
kuna International Eye Hospital pale MoroccoNdio the best hapa Dar?
Sawa. Ngoja nitawacheki nikirudi mjini wiki ijayo
Mkuu asante sana uzidi kubarikiwa.nilienda INTERNATIONAL EYE HOSPITAL nikapata huduma nzuri sana..lkini nikagundulika ninatatizo kubwa zaidi ya nilivyodhan..Ubarikiwe pia, kikubwa zaidi nakutakia uponyaji kwa shida inayokukabili. Pole sana.
Mkuu asante sana uzidi kubarikiwa.nilienda INTERNATIONAL EYE HOSPITAL nikapata huduma nzuri sana..lkini nikagundulika ninatatizo kubwa zaidi ya nilivyodhan..
Nimepatiwa dawa bado naendelea kutumia baada ya mwezi nitarudi tena.shukrana sana mkuu
Amen mkuuAmen, nakuombea uponyaji upesi. Barikiwa pia
Mimi nafanya kazi medewell health center ipo kibaha tunayo huduma hiyo, unaweza ukaja kutembelea tuna kitengo cha macho kizuri ambapo tuna fanya operation ya mtoto wa jicho bure bila garama yoyote endapo utagundulika na tatizo hilo.
Pia gharama ya kumwona Daktari wa macho elfu 5. Pia gharama hizi haziambatani na za dawa. Pia tu kwanini tunafanya cataract bure. Ni bure kwakuwa ni charitable center hivo kama na ndugu jamaa rafiki mlete asaidiwe na hawa wahusika wa macho wenye shida ya mtoto wa jicho...
na huduma zingine nafuu sanaNi hosp ya macho only au mnatoa na huduma gani zingine?je kwa maswala ya uzazi je?na gharama zipoje?
bure garama, kwa dar es salaam hospitali nzuri za macho zipo Msasani, Morocco na Victoria wasikudanganye hao wa bure, bure gharama