Jimmy MUsa
JF-Expert Member
- Oct 14, 2020
- 226
- 159
Wadau naombeni msaada hospitali yenye ma specialist ya macho na tatizo la macho linanisumbua mwaka wa 10 sasa.
Eye international ipo Victoria na Dr Argaways ipo karibu na makao makao makuu ya Airtel mbele ya Namanga best bite.Wadau naombeni msaada hospitali yenye ma specialist ya macho na ratizo la macho linanisumbua mwaka wa 10 sasa
AhsanteEye international ipo Victoria na Dr Argaways ipo karibu na makao makao makuu ya Airtel mbele ya Namanga best bite.
Achana na Ccbrt.