Wakuu habari za saa izi? Mimi si mwenyeji sanna dar lakini nimehamishiwa kikazi.nimebahatika kuoneshwa nyumba ya manunuzi mtaa wa tandika yombo..naomba munipe sifa za mtaa huu na ubaya wa mtaa huu..ili kama nikihamia nikae vizuri na majirani au kama una matatizo naomba munijuve..nisije nikanunua sehemu yenye matatizo nikaharibu hela yangu bure..asanteni wakuu