Msaada /naomba kazi

facebobo

Member
Mar 5, 2022
5
0
Habari jamani ndugu zangu..

Nimekuja kwenu leo naomba msaada wa kazi nipo Arusha.

Elimu yangu ni kidato cha 4 tu. Sina fani yoyote niliosomea. Mimi kazi yoyote nafanya sichagui. Naishi na mke pia ni mjamzito wa kujifungua Leo au kesho. Yaani kiukweli akili yangu imevurugika sana.

Umri wangu Ni miaka 30
Mama yangu aloshafariki miaka kama Sita iliopita. Baba yangu yupo lakini anaishi na mam mwingine ambaye amezaa nae watoto watatu. Huyu mama hanitaki na wala hataki hata kunisikia sababu siijui. wao wanaishi dar ila Mimi nimekuja Arusha ili kuhangaika na maisha.

Naombeni msaada ndugu zangu
 
Umri wangu Ni miaka 30
Mama yangu aloshafariki miaka kama Sita iliopita. Baba yangu yupo lakini anaishi na mam mwingine ambaye amezaa nae watoto watatu. Huyu mama hanitaki na wala hataki hata kunisikia sababu siijui. wao wanaishi dar ila Mimi nimekuja Arusha ili kuhangaika na maisha. Naombeni msaada ndugu zangu

Mkuu kwanza pole.
Pili kwa umri wa miaka 30 hutakiwi kulalamikia hayo uliyoyaandika hapo juu.
Kwa sasa wewe unawahitaji wazazi wakushauri tu na sio waku lelee.
 
Back
Top Bottom