covid 19 JF-Expert Member Joined May 9, 2014 Posts 8,285 Reaction score 20,642 Jun 30, 2023 #1 wakuu habari ninahitaji katuni ya kirikuu (swahili version) kwa ajili ya watoto hawajawahi kuiona na wameniomba niwaletee. Tafadhali kama kuna mwenye kunisaidia niipate nitashukuru.
wakuu habari ninahitaji katuni ya kirikuu (swahili version) kwa ajili ya watoto hawajawahi kuiona na wameniomba niwaletee. Tafadhali kama kuna mwenye kunisaidia niipate nitashukuru.
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,941 Reaction score 31,899 Jun 30, 2023 #2 Peleka flash kwa watu wanaoingiza movie
Mufti kuku The Infinity JF-Expert Member Joined Sep 21, 2019 Posts 7,257 Reaction score 13,000 Jun 30, 2023 #3 covid 19 said: View attachment 2674196 wakuu habari ninahitaji katuni ya kirikuu (swahili version) kwa ajili ya watoto hawajawahi kuiona na wameniomba niwaletee. Tafadhali kama kuna mwenye kunisaidia niipate nitashukuru. Click to expand... Dah, umenikumbusha mbali
covid 19 said: View attachment 2674196 wakuu habari ninahitaji katuni ya kirikuu (swahili version) kwa ajili ya watoto hawajawahi kuiona na wameniomba niwaletee. Tafadhali kama kuna mwenye kunisaidia niipate nitashukuru. Click to expand... Dah, umenikumbusha mbali
Durovic JF-Expert Member Joined Mar 13, 2017 Posts 3,805 Reaction score 6,835 Jun 30, 2023 #4 covid 19 said: View attachment 2674196 wakuu habari ninahitaji katuni ya kirikuu (swahili version) kwa ajili ya watoto hawajawahi kuiona na wameniomba niwaletee. Tafadhali kama kuna mwenye kunisaidia niipate nitashukuru. Click to expand... Upo wapi
covid 19 said: View attachment 2674196 wakuu habari ninahitaji katuni ya kirikuu (swahili version) kwa ajili ya watoto hawajawahi kuiona na wameniomba niwaletee. Tafadhali kama kuna mwenye kunisaidia niipate nitashukuru. Click to expand... Upo wapi
covid 19 JF-Expert Member Joined May 9, 2014 Posts 8,285 Reaction score 20,642 Jul 1, 2023 Thread starter #5 orturoo said: Upo wapi Click to expand... nipo kimara hapa..
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,095 Reaction score 195,868 Jul 1, 2023 #6 Ngoja waje kukupa muongozo...
loliondokwetu JF-Expert Member Joined Feb 21, 2018 Posts 1,376 Reaction score 1,768 Jul 3, 2023 #7 covid 19 said: nipo kimara hapa.. Click to expand... Mzee mbona ni simple sana, kwenye simu yako download application ya vidmate au videoder, then search hyo muvi yako utaikuta hko pamoja na nyingine nyingi, then kuna option ya kudownlod kwa quality mbalimbali kulingana na uhitaji wako. Case closed.
covid 19 said: nipo kimara hapa.. Click to expand... Mzee mbona ni simple sana, kwenye simu yako download application ya vidmate au videoder, then search hyo muvi yako utaikuta hko pamoja na nyingine nyingi, then kuna option ya kudownlod kwa quality mbalimbali kulingana na uhitaji wako. Case closed.
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 8,524 Reaction score 23,819 Jul 25, 2025 #8 Nahitaji pia