S Sadoseba JF-Expert Member Feb 17, 2013 243 91 Jun 22, 2016 #1 Habari za wakati huu viongozi. Kuna distributors wa maandiko matakatifu hususan Biblia wanaitwa Gideons International. Naomba anayejua ofisi zao zilipo hapa Dar es Salaam au mwenye contacts zao anisaidie tafadhali. Natanguliza Shukurani
Habari za wakati huu viongozi. Kuna distributors wa maandiko matakatifu hususan Biblia wanaitwa Gideons International. Naomba anayejua ofisi zao zilipo hapa Dar es Salaam au mwenye contacts zao anisaidie tafadhali. Natanguliza Shukurani
S Sadoseba JF-Expert Member Feb 17, 2013 243 91 Jun 23, 2016 Thread starter #2 Au wakala wao yeyote aliyepo Dar
Kaa la Moto JF-Expert Member Apr 24, 2008 7,903 1,053 Jun 23, 2016 #3 Mpingie huyu ingawa yuko mkoani anaweza kuwa anajua 0752329813