Msaada: Naomba contacts za the Gideons International - Tanzania

Sadoseba

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
243
91
Habari za wakati huu viongozi. Kuna distributors wa maandiko matakatifu hususan Biblia wanaitwa Gideons International. Naomba anayejua ofisi zao zilipo hapa Dar es Salaam au mwenye contacts zao anisaidie tafadhali. Natanguliza Shukurani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom