leadermoe
JF-Expert Member
- Feb 15, 2017
- 1,392
- 4,683
1.Magic Plan
2. AUTOCAD
Nimejaribu kutafuta Cracked ila nimekosa maana mwisho naambia nilipie. Pia kama kuna mdau anaejua apk nyingine inayofanya hizo kazi anisaidie. Ni kwa ajili ya kujifunza tu sio biashara.
NB:
Kwa wasiojua hizi apps zinatumika kutengeneza floor plan ya majengo.
Thanks in advance
Sent using Jamii Forums mobile app