Nina Tsh.200,000 nataka kununua Huawei y530 siitaki ile ya Tigo lkn kinacho niogopesha zaidi ni kubakikizwa kama walivyo nishkisha S4 clone, naijuaje ya ukweli? au nichukue hata tecno P5 tu?