MSAADA: Naogopa kufanya mapenzi nikiwa na Mwanamke

MSAADA: Naogopa kufanya mapenzi nikiwa na Mwanamke

Nikiwa siko na mwanamke uume unakuwa vizuri tu but nikiwa naye hof nakuwa nayo sana sijawahi fany mapenzi
Wenzio wakiwa na wanawake ndio inasimama hata ukimwambia kazime taa anarukaruka kwa furaha..!!

Wewe utakua na tatizo mkuu..!!
 
Ongeza bidii mura ata barthazary kuna baadhi ya mechi alikuwa anasusia kuingia ila kw badae akageuka legend wasoka
 
Ukiwa mwenyewe unakua fresh kivipi?

Unaona sifa kumaliza mche wa sabuni ndani ya siku 3 siyo?
 
Hello habari,

Mimi ni kijana nina miaka 20. Tatizo ni kuwa nakuwa na hofu nikitaka kufanya mapenzi. Nikiwa mwenyewe nakuwa vizuri ila nikiwa na mwanamke hofu inakuwa nashindwa kufanya.
Una maana haisimami? Au ni woga mwingine.
 
Hello habari,

Mimi ni kijana nina miaka 20. Tatizo ni kuwa nakuwa na hofu nikitaka kufanya mapenzi. Nikiwa mwenyewe nakuwa vizuri ila nikiwa na mwanamke hofu inakuwa nashindwa kufanya.
Una jini mahaba linakuzuia na kukutia hofu.

Tafuta vitu hivi....
Jogoo mweupe
Udi maka
Ubani mashitaka
Ubani mapenzi
Kitunguu swaumu
Kitunguu maji
Mafuta ya kitimoto

Kisha mpake jogoo mafuta ya kitimoto na ulimshe vitunguu ukiwa unafukiza udi. Tamka maneno haya...... MIMI ......... NATAKA NIWE MUASHERATI NISIMUOGOPE KILA MWANAMKE ANAEKATIZA KWENYE ANGA ZANGU NIMKULE.

Dogo, acha ujinga, Roho ya Mungu anakuokoa na janga. Sikia sauti yake achana na stori za kulombana JF

Ukip
 
Hapan nakuwa n hofu tu sijui w

Hello habari,

Mimi ni kijana nina miaka 20. Tatizo ni kuwa nakuwa na hofu nikitaka kufanya mapenzi. Nikiwa mwenyewe nakuwa vizuri ila nikiwa na mwanamke hofu inakuwa nashindwa kufanya.
Hizo ni dalili za uhanithi.

Hilo ni tatizo kwako, ingawa unaliona kama dogo kwa sababu unadindisha vzuri nje ya tukio, lakini saikolojia ishavurugwa hapo, jongoo haliweze kupanda mtungi!

Nenda kaonane na wataalamu wa afya haraka sana.

Umri huo ni wa kupenda wanawake na ngono kuliko chakula na pesa.

Ukiona sijui hofu, mara ukivuliwa chupi na kasichana kitu ghafla kinasizi na mapigo kuanza kwwnda kasi, huo siyo ukamilifu ni ugonjwa.

Ushaona mtu ana njaa atengewe chakula kitamu halafu eti hamu ya kula ikate ghafla!

Ndiyo wewe sasa, nenda hospitali utakutana na wataalamu wa kukusaidia, sisi humu tutakubagaza hofu tu, mwishowe ushindwe kudidisha hata ukiwa peke yako.
 
Back
Top Bottom