utanunua kwa calculeta toka kwa wachmbaji na utauza kwa calculeta mfano jiwe la thamani ya m kumi ww mwandikie 20milion,buyer atashtuka atajua ww ni mjuaji atakuandikia mil5 we goma mwandikie 19,atakachokifanya atakuambia top top ofa mil7 atakuandia jiwe na calculeta atakupa kana kwmb ukigoma hyo ofa hakuna biashara,ww usihofu we chukua jiwe,ukitoka mlangoni atakuita atakupa ofa nyngne.nb uwe unajua thamani yake.
hahahaha!! nimekusoma chief ila wanasema kama ukienda sehemu tofauti kama bei haieleweki ukirudi kwa mwanzo wanagoma, je kuna ukweli wowote kuhusu ilo??
hiyo inatokeaga sana....ukiondoka na mawe ukirudi nayo wanajua ushachoshwa huko kwngine kwa hiyo na wao wanakugaragaza, ndomana mwingine anawachia madini ana seal anaondoka...akirudi wanaendelea mpaka unapata bei nzuri

OK... iyo seal hawawezi kufanya magumashi labda kukata na kuweka mzigo sio??
hata haijawahi tokea jamaa hao ni waaminifu na wanajua biashara hata uwache jiwe la 100mln utalikuta.ila ukiacha kwa mbongo hesabu maumivu tu ukirudi
je tools gani mnunuzi anatakiwa kuwa navyo na bei gani kwa mnunuzi mdogo kwenye biashara ya germstone?? mbali na scale
hi biashara ya madini ukicheza vibaya unaliwa.biashara hovyo sna.nimewahi kuuza safaya 2.5m aliyenunua akauza milion 40.tangia siku hyo sijarudia tna hi kazi.imejaa ujanjaja na utapeli utapeli
INATEGEMEA NA GEM.BIASHARA YA GEM UNATAKIWA UWE UNAJUA THAMANI YA GEM ENYEWE.MFANO UNAENDA KUUZA RUBY 5g unapewa calculeta na buyer uandike bei yake,kwakuwa ww n mgeni nahujui utaandika milion kumi,hapo buyer atakuona hujui atakushusha atakuandikia 2milion ww utagoma utaandika 9milion.biashara ya inataka uzoefu na utaalam bila hvyo utaumia tu.ila kwa msaada ni bora kuanza na cheap stone,inalipa na yanapatikana kirahisi
umeona sasa hahaha pole sana mkuu....ila inabidi utulivu sana usiuze kwa pupa, supphire yako ilikuwa ya wapi mkuu
uwe na tochi na lenzi ya kutizamia...havina garama sana mkuu
umeona sasa hahaha pole sana mkuu....ila inabidi utulivu sana usiuze kwa pupa, supphire yako ilikuwa ya wapi mkuu
Unataka kutapeliwa wewe.!!
Cheap stones kama zipi
chief ukiuliza supphire ya wapi unamaanisha nini??
kuna rafiki yangu mkongo nataka kwenda nae Kongo na yeye ndio aliyeni impress kwenye hii biashara... na germstone kwa Tanzania zinapatikana wapi??