sasa chief kuuza zaidi ya 10mln kwa gram au? ninavyosikia wao ndio wanapanga bei au ili uweze kutambua bei ya kuuza unatakiwa ufanyaje??
Unauza hiyo mizigo iko wapi??
Kuna wazungu wapo upanga wananunua Madini and Kama Una eneo linatoa madini,liko surveyed pia wananunua changamkia fulusa mkuu
aise acha kutania watu.
huwez kununua madini km nyanya au mahndi,madini yanautaratibu na km ww n mgeni ktk secta itakusumbua sna.km ni gem na ni mgeni ktk fani jichanganye na wachmbaji ili upate somo,km ni dhahabu uwe na scale yako ya kununua,napia jaribu kuangalia sehemu inayotoa kw wingi ndyo utajaza mzgo haraka au jaribu kuwaface matajiri wanaomiliki migodi au crem mara nyng wanatoa mzgo km unaofa kubwa.
INATEGEMEA NA GEM.BIASHARA YA GEM UNATAKIWA UWE UNAJUA THAMANI YA GEM ENYEWE.MFANO UNAENDA KUUZA RUBY 5g unapewa calculeta na buyer uandike bei yake,kwakuwa ww n mgeni nahujui utaandika milion kumi,hapo buyer atakuona hujui atakushusha atakuandikia 2milion ww utagoma utaandika 9milion.biashara ya inataka uzoefu na utaalam bila hvyo utaumia tu.ila kwa msaada ni bora kuanza na cheap stone,inalipa na yanapatikana kirahisi
Nipo serious,mzigo ninao subiri nitaweka picha ila sitaki dalali na vilevile najipanga sababu ya usalama wangu kutokana na mzigo nilionao,hivyo nahitaji kufahamu ofisi ambapo nitapeleka mzigo wangu
nimekusoma ila biashara inalipa??
cheap stone kama yapi na kwaiyo kama akikupa calculater nachotakiwa kutaja bei kubwa au ndogo??
dhahabu unaweza kuuza hapo bongo dar.ila ruby km una jiwe kubwa nakushauri kauze kwa wathailand monte puez mozambique wanachukua kwa dola ila km una ujanja huo km huna peleka arusha unawdza kuuza vizuri tu.almasi huo mziki mwngne mkuu.km una caret ngapi?km ni jiwe kubwa usiuzie hapa bongo wanunuzi watakuzingua sna.
Mkuu Fiati tatizo hiyo biashara imejaa utapeli sana. Bora wale wanaonunulia kule kule site sio hapa town. Utalia kaka
hata site watu wanapigwa wakati kuna mlio wa ruby inatoka hata wapigaji wanakuja maporini.....wana kuja na synthetic stones wanazitoa russia na america wanazitumbukiza huko winza wathai washapigwa sana nmeona hata mtopwesh hvyo hvyo.....kuna ----- mmoja anatokea mahenge anaitwa maspana mshenzi sana ndy zake....ila sahv ashashtukiwa....kwa hiyo inataka umakini sana
hata site watu wanapigwa wakati kuna mlio wa ruby inatoka hata wapigaji wanakuja maporini.....wana kuja na synthetic stones wanazitoa russia na america wanazitumbukiza huko winza wathai washapigwa sana nmeona hata mtopwesh hvyo hvyo.....kuna ----- mmoja anatokea mahenge anaitwa maspana mshenzi sana ndy zake....ila sahv ashashtukiwa....kwa hiyo inataka umakini sana
dhahabu unaweza kuuza hapo bongo dar.ila ruby km una jiwe kubwa nakushauri kauze kwa wathailand monte puez mozambique wanachukua kwa dola ila km una ujanja huo km huna peleka arusha unawdza kuuza vizuri tu.almasi huo mziki mwngne mkuu.km una caret ngapi?km ni jiwe kubwa usiuzie hapa bongo wanunuzi watakuzingua sna.
kuna jamaa anaitwa ndaki aliwapiga wathailand mpwapwa,utapeli kila sehemu
Jamaaa inabidi atulie sana, dunia ishavaa koti hii
Wakuu naomba kujua ni tajiri gani hapa Dar-es-salaam ananunua madini,kama vile Gemstone.Maana naona wamejaa madalali tu.Sasa kama kuna mtu ananunua madini anapatikana Dar maeneo gani?Msaada tafadhari.