Alisoma pale kati ya mwaka 2006-2010. Ilikuwa amalize 2008 lakini akawa anakamatwa kamatwa sana! Hiyo ikikuwa wakati anasoma Diploma ya Afya tiba ya mifugo!Dah kwa makadirio huyo Sembeyu alisoma huko tengeru mwaka gani?
Ushauri muruaShamsa jaribu kukaa na mama vizuri kwa busara zote muulize kwa upole juu ya baba yako nini kilitokea na yupo wapi, usifanye hivi behind her back utamuumiza sana mama yako maana yeye ndiye amehangaika na wewe kipindi chote hicho katika malezi mpaka umekua na kufikia hapo,tulia na mama i believe maisha yataendelea tu maana hata huyo baba unaemtafuta angekua anakupenda angekutafuta kabla yako,ni ushauri tu
HILI NI NGUMU. DADA YANGU ALIZAA NA MTU NA KIJANA WAKE ANA UMRI WA MIAKA ISIYOPUNGUA 30. AMEKUWA AKIMSUMBUA MAMA YAKE MIAKA NENDA AMJULISHE BABA YAKE NA HATAKI. Ni ajabu sana. Afadhali angemwambia amekufa lakini hamjibu lolote. Wanawake ni wa ajabu sana. Halafu hata malezi mengi aliyapata kwa babu yake mzaa mama hivo hakumhangaikia sana kwa makuziShamsa jaribu kukaa na mama vizuri kwa busara zote muulize kwa upole juu ya baba yako nini kilitokea na yupo wapi, usifanye hivi behind her back utamuumiza sana mama yako maana yeye ndiye amehangaika na wewe kipindi chote hicho katika malezi mpaka umekua na kufikia hapo,tulia na mama i believe maisha yataendelea tu maana hata huyo baba unaemtafuta angekua anakupenda angekutafuta kabla yako,ni ushauri tu
aiseee kaa nae chini mamaa atakuelekezaa au ndio hasira na kitimanyingo bado anacho ni hali yako kumjua baba kama unamuhitajiHayupo tayari kuniweka wazi kuhusu hili swala sasa sielewi ni kwann ndo nimefikia maamuzi haya ya kuomba msaada wa taarifa kuhusu yeye
Ukumbuke kua bado binti hajajua majina halisi/kamili ya babakenakushauri jambo..
nenda ofisi za NIDA... kajieleze... labda utapata msaada maana kule wataweka taarifa zako katika system alaf wakusaidie kutafuta adress yake.. vizuri..
sina uhakika kama watakubali kutoa taarifa husika... ila wakikubali hiyo kazi ni ndogo sanaa
Niwie radhi kwa kukwambia: HUNA AKILI TIMAMU.Mkuu kama maisha yanenda wachana na huyo dingi. Miaka 23 bado unahangaika kumtafuta?
Fanya mambo yako, achana kupoteza muda kwa mambo yasiyo ya msingi.
Mimi kama ni kumtafuta ningekuwa namtafuta ili nimuondoe duniani sio kwa wema.
Uko smart kichwani dada. Hongera.Mnamhukumu tu mdingi bila kujua, vipi kama mama aliishia na ujauzito mzee hajui??? Vipi kama walivotengana mama alidanganya mtoto kadanja ili kupoteza ukaribu???yote yanawezekana amtafute tu ataujua ukweli kisha afanye uamuzi sasa.
Tafuta ndugu wa karibu unaeona anaweza kua mbea mbea kidogo uwe unamnunulia zawadi zawadi mara kwa mara ukiona mumekua na ukaribu mkubwa mwambie akupe taarifa zinazoweza kusaidia kumjua babako.Hatumii kilevi chchte
nimeipenda hii kali ya mwaka...Wakati mwingine, wa mama wanazingua ,nakumbuka kunajamaa flani huko huko tanga ila yeye ni ME alikuwa akimsumbua mama yake kuhusu baba yake na mama yake akawa anasema baba yako alianguka kwenye mnazi akafa,sasa jamaa ilikuwa akiuliza walipo mzika na vitu vingine bado anaona chenga kwa maana majibu haya ridhishi,
Ebwanaeee! Kumbe kuna ndugu alishikwa na huruma baada ya kuona jitihada za jamaa zinagonga mwamba(na hii ni kutokana jamaa alishtuka maana yeye ni kama singa singa na wadogo zake wote ni waswahili hata huyo baba anaemlea ni mswahili,ndomana akaamuakuuliza kwa nini yeye yupo tofauti na wengine na ndo maza akamjibu baba yako alianguka kwenye mnazi na akafa)
Basi bwana ndugu mwenye huruma akamtonya kuwa baba yako hajafa na baba yako anajua wewe ushafariki, na akamwambia mbane mama yako atakwambia baba yuko wapi
Daaaah! Hiyo siku jamaa sijui alikula mmea mana si kwa hasira zile(jamaa alikuwa dereva wa magali ya abiria),Alimshikia panga mama yaje mzazi na akamwambia nakupa nusu saa kama hutaniambia baba yupo wapi ...natenganisha kichwa na kiwili wili mana hata wewe ulishaniua kwa maneno yako.....Yaaani yule mama alitetemeka na akijikuta anamwambia kilakitu...Kuwa baba yako yupo Dar na ana miliki magari na ana asili kama ya kiarabu
Basi jamaaa akaja Dar kwa maelezo ya jina na sehemu akatafutaa wee! Mpaka akamuona babayake na mzee wake alifurahi sana sana kwa maana alisema alitoa mpaka pesa ya maziko ila akamwomba mwanae asemehe yote, Jamaa akawa ndokama anasimamia baadhi ya Mali za mzee
Ukumbuke kua bado binti hajajua majina halisi/kamili ya babake
Ulifanikiwa kumpata mshua?Habari wana-JamiiForums?
Kwa jina naitwa Shamsa namtafuta baba yangu mzazi ambaye tulipotezana miaka 23 iliyopita sikuwahi bahatika kumfahamu wala kuikariri sure yake sababu aliondoka ningali bado mdogo sana.
Kwa taarifa nilizozipata juu juu baba huyo alikuwa akifahamika kwa jina la "Abbas Sendeu" ingawa bado sina uhakika sana kuhusiana na hilo jina la Sendeu ila kiasili alikuwa ni mtu kutoka Tanga japokuwa sikubahatika kujua kabila lake kabisa,, walikutana na mama yangu ambaye anaitwa Salama ambaye pia aliwahi kusoma chuo cha biashara cha Shinyanga na katika historia yao fupi waliwahi kuishi Mwanza na Arusha kabla ya kutengana na mama yangu kuhamia Dodoma ambapo ndio makazi yetu mpaka sasa.
Tafadhali! popote upatapo ujumbe huu naomba usiache kunitafuta baba yangu maana natamani kuijua true identity yangu....pia ombi langu kwa wanajamii forum, yoyote mwenye taarifa inayoweza kunisaidia kupatikana kwake na inayoshabiihana ama kurandana na majina au historia tajwa hapo naomba asisite kunifahamisha kwa namba zifuatazo...0754638458 na 0756289602.
Mwisho naomba kutoa angalizo au tahadhali naomba namba zilizo wekwa hapo juu zitumike kwa ajili ya matumizi yaliyotajwa hapo juu.
hata mimi nashangaa na hilo mkuuMama Yako Mzazi Hajakueleza Kwa Kina Kuhusu Baba Bila Shaka Utampata Tu
First pole kwa kumukosa baba yako, lakini niko na swali muhimu sana nataka kukuuliza JE MAMA YAKO MZAZI AKO HAI?? na kaa ako hai, mbona asikupe maelezo yote kamili kuhusu your dad? maana kulingana na vile nimesoma hii taarifa yako yaonekana wazazi wako ni watu wamesoma, walikuwa na elimu, so sio rahisi BINTI(mama yako mzazi) au kijana(baba yako mzazi) kutochukua taarifa za kule mwenza wake ametoka anaishi au mambo kaa hayo mkuu,mama zazi ako hai mkuu????Habari wana-JamiiForums?
Kwa jina naitwa Shamsa namtafuta baba yangu mzazi ambaye tulipotezana miaka 23 iliyopita sikuwahi bahatika kumfahamu wala kuikariri sure yake sababu aliondoka ningali bado mdogo sana.
Kwa taarifa nilizozipata juu juu baba huyo alikuwa akifahamika kwa jina la "Abbas Sendeu" ingawa bado sina uhakika sana kuhusiana na hilo jina la Sendeu ila kiasili alikuwa ni mtu kutoka Tanga japokuwa sikubahatika kujua kabila lake kabisa,, walikutana na mama yangu ambaye anaitwa Salama ambaye pia aliwahi kusoma chuo cha biashara cha Shinyanga na katika historia yao fupi waliwahi kuishi Mwanza na Arusha kabla ya kutengana na mama yangu kuhamia Dodoma ambapo ndio makazi yetu mpaka sasa.
Tafadhali! popote upatapo ujumbe huu naomba usiache kunitafuta baba yangu maana natamani kuijua true identity yangu....pia ombi langu kwa wanajamii forum, yoyote mwenye taarifa inayoweza kunisaidia kupatikana kwake na inayoshabiihana ama kurandana na majina au historia tajwa hapo naomba asisite kunifahamisha kwa namba zifuatazo...0754638458 na 0756289602.
Mwisho naomba kutoa angalizo au tahadhali naomba namba zilizo wekwa hapo juu zitumike kwa ajili ya matumizi yaliyotajwa hapo juu.
Pls naona wewe una akili dogo sana, dogo ametoa kila taarifa, mama walikuwa na baba, wanasoma, na kila kitu mambo ya kubakwa yanatokea wapi aki??? pls pls try try and reason a bit, good day sirTatizo usikute mama alibakwa na mjomba au baba ndio maana wanaficha ishu. Au hujawahi sikia baba au mjomba kambaka mwanawe?? Sasa kama hapo utamwabia vipi mtoto kama baba yangu ndio alienibaka na kukuza wewe au mjomba fulani ndio baba yako hatari sana.
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️