cmases
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 1,764
- 1,438
Duh, basi hii itakuwa Chai.Njoo na ID yako ya zamani maana umeandika kama mwenyeji wakati umejiunga leo...Terehe 21 Sept 2018.
View attachment 873602
Duh, basi hii itakuwa Chai.Njoo na ID yako ya zamani maana umeandika kama mwenyeji wakati umejiunga leo...Terehe 21 Sept 2018.
View attachment 873602
Sawa Zero BRAIN aka BASHITE.Tatizo ni kuvia kwako kwa akili ndo kunakusumbua,umevurugikiwa maono na umekosa kabisa uwezo wa kupambanua mambo.
Sawa NGAPUlila.acha ujuwaji ewe MAKUzi
Kwanza nakupa pole sana.. pili, umenitoa machozi gunia ndugu yangu najua unavyo umia kwa maandishi yako uloandika kwa msisitizo na huzuni moyoni... ongea na mama yakp kwa upole kwani hawezi kukuficha yoooteee mpe moyo na mpigie magoti ukiwa na huzuni huuu kma uloandika hapa huku ukitokwa machozi mengi.. nafikiri kwa cc wazazi huwa tuna huruma fulani...nn nakwambi hivyo walau wewe una mtafuta baba ila kuna wengine wasichana hawanaga hiyoo.. fanya kwa upole na mtangulize muumba wako asimamie hilo. Utafanikiwa.
Labda uelezee baba ako alikua anafanya kazi gani,sehemu gani pia elezea mama ako alikua anafanya kazi gani pia,
Ulitaka uzitumie kuomba hela!Hilo angalizo lako la namba lina kamkwara fulani hivi![]()
![]()
![]()
![]()
shangaa!Sasa wanini kama yeye hajawah kukutafuta
Huyu naye mjinga tuuSasa I'd ya zamani ya nini?
Kwa elimu yangu ndogo ya "ujasusi".Sendeu ni jina ambalo lipo kwa wapare,wasambaa na wazigua.Jambo la pili ni kuwa umetaja chuo cha biashara Shinyanga,hapo mdadisi mama akutajie mwaka na utaweza kujua baadhi wa watu waliokuwa hapo wakati huo na pia unaweza kwenda shinyanga na ukapta details zaidi.Habari wanajamii forum? Kwa jina naitwa Shamsa,namtafuta baba yangu mzazi ambaye tulipotezana miaka 23 iliyopita sikuwahi bahatika kumfahamu wala kuikariri sure yake sababu aliondoka ningali bado mdogo sana.
Kwa taarifa nilizozipata juu juu baba huyo alikuwa akifahamika kwa jina la "Abbas Sendeu" ingawa bado sina uhakika sana kuhusiana na hilo jina la Sendeu ila kiasili alikuwa ni mtu kutoka Tanga japokuwa sikubahatika kujua kabila lake kabisa,, walikutana na mama yangu ambaye anaitwa Salama ambaye pia aliwahi kusoma chuo cha biashara cha Shinyanga na katika historia yao fupi waliwahi kuishi Mwanza na Arusha kabla ya kutengana na mama yangu kuhamia Dodoma ambapo ndio makazi yetu mpaka sasa.
Tafadhali! popote upatapo ujumbe huu naomba usiache kunitafuta baba yangu maana natamani kuijua true identity yangu....pia ombi langu kwa wanajamii forum, yoyote mwenye taarifa inayoweza kunisaidia kupatikana kwake na inayoshabiihana ama kurandana na majina au historia tajwa hapo naomba asisite kunifahamisha kwa namba zifuatazo...0754638458 na 0756289602.
Mwisho naomba kutoa angalizo au tahadhali naomba namba zilizo wekwa hapo juu zitumike kwa ajili ya matumizi yaliyotajwa hapo juu.
Shamsa usijekuwa wewe ni mtoto wa Sendeu yule chitomb... tulikuwa naye chuo cha mifugo Tengeru? Ila jina la kwanza silikumbuki! Huyu jamaa ni kweli aliwahi kufanya kazi Mwanza idara ya mifugo kabla ya kwenda Arusha baadaye Dar manispaa ya Kinondoni. Hebu pitapita kwenye hizi manispaa zote za Dar idara ya mifugo, anzia kwanza Kino ukimkosa hapo nenda Ilala! Sendeu atanisamehe kama nimemchongea kwa binti yake aliyekuwa hataki amjue! Ila kama siye basi anaweza akawa babako mdogo au mkubwa! Nitakupigia simu leo tuelewane wewe mtoto wa Kibondei!!
Mamiii una roho mbaya hivyoSasa wanini kama yeye hajawah kukutafuta
Wa nini sasa akafie mbali huyo babaMamiii una roho mbaya hivyo
Kwa elimu yangu ndogo ya "ujasusi".Sendeu ni jina ambalo lipo kwa wapare,wasambaa na wazigua.Jambo la pili ni kuwa umetaja chuo cha biashara Shinyanga,hapo mdadisi mama akutajie mwaka na utaweza kujua baadhi wa watu waliokuwa hapo wakati huo na pia unaweza kwenda shinyanga na ukapta details zaidi.
La tatu,jaribu mitandao ya kijamii kama facebook na kulitafuta jina hilo,yatakuwa mengi lakini anza kuchuja taratibu na unaweza kubahatika.
La nne,katika dunia hii ujiandae kisaikolojia kwani unaweza ukapjua kwenu lakini usibahatike kumuona baba yako.
kila la heri usisahau kutupa mrejesho.
!
!
Mleta Uzi @samsha Hussein Nina Ushauri Mdogo Kuweza Kurahisisha Hii Kazi. Fanya Home Work Yako Kikamilifu Kabla Hujapost Huku. Tafuta Taarifa Za Awali Zinazojitosheleza, Mfano Ni Muhimu Kujua Jina Jina Kamili La Huyo Unayemtafuta. Ukipata Jina Trace Mahali Alipowahi Kuishi Au Kufanya Kazi, Fatilia Kwa Watu Wenu Wa Karibu. Yupo Mtu Atakuwa Na Clue Tu Whereabout Him.
ionekanavyo kuna uadui mkubwa ulijitokeza baina ya babaako na mamako kiasi ambacho hawataki mkutane.nami natoa angalizo kwa wanaouliza maswali ya kijinga au yasiyofaa ukiona mtu kaja kuulizia kitu kanisani wakati anajua kinapatikana sokoni ujue kakikosa huko sokoni.toeni msaada badala ya kukebehi na kuzingua.kuna muda nahisi kuna kitu nafichwa kitu sasa ni mtu mzima nahitaji kufahamu ukweli ambao najua siwezi upata kwa mama zangu maana ni kipindi kirefu nimekuwa nikiungoja na kuutafuta